Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

GOOOOOOOOOOAL

haalf away to thecme back

Rosiscky. 2-0 Arsenal.

Kwa sisi tunaopenda soccer hii ni burudani safi sana...Man U fan or not,I just love soccer and the drama that can come out of it.But i wonder why Van Persie is not that sharp tonight,he'd better start turning on the engines.
 
Sasa sagna alipewa kadi ya njano kwa kosa kama hilo hapa walcot kaumizwa hakuna hatua zaidi ----- Inconsistency
 
Arsena wakishinda hapa kocha wa Milan anaweza ku-AVB- osiwa

Its half time
 
Hawa Waitalia najua wamesha jichanganya... hapa ni kutowaruhusu wasijipange... na hii team work iliyoonyeshwa 1st half iendelee....
 
hii arsenal ya leo sijui imefufukia wapi! au huwa wanafanya kusudi na ule mpira wao wa kupaka rangi
 
Jamani kwanza tumuombe mungu awe upande wetu.
Pili tusishangilie sana, maana mpira ni dk 90!
All in all tuombe pia AC Milani wasipate goli.
Eee mungu mwenyezi tunaomba utusaidie mtihani huu leo!
 
Back
Top Bottom