Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Song. Katoa bonge la pande
Kiukweli Rosicky yuko njema sana....Sijui kwa nini AW huwa anambania...Wenger aache kupoteza mda na. Yule Ramsey wake, Rosicky awe. Anaanza.
Arsenal 5-2 Tottenham HotspursWakuu tupeni bac matokeo . Wengine tupo shimoni.
Howard Webb ni Liverpool?? Labda kama kabadili timu
wow! Nimeshtukaje..dogo namfagi sana, ahamie kwetu🙂))
Walcottttttttttttttttttt
Kiukweli Rosicky yuko njema sana....Sijui kwa nini AW huwa anambania...
Hizi ni salamu zetu kwa Rossoneli.......AC Milan
5-2.................Hahaaaaaaaaaaaaa
Kumbuka 'Football is a game of chance'..........Mkuu kumbuka hiyo ni level nyingine.
Anyway natunza maneno yako!
Mkuu kumbuka hiyo ni level nyingine.
Anyway natunza maneno yako!
Wakuu vipi kocha aondoke au abaki??