Aaaaaah Kijana wa Eastland.....Naona leo mambo yako mswanoooooooo...
Man Utd kadraw........Lol
Aaaaaah Kijana wa Eastland.....Naona leo mambo yako mswanoooooooo...
Man Utd kadraw........Lol
Man Utd kadraw........Lol
Yap....Nimeona mkuu......Man Utd kashinda 2-1 goli la dk za majeruhi lililofungwa na giggs
Wakuu vipi kocha aondoke au abaki??
midogo ilipaki basi matokeo yake wamepigwa..
Ili iweje?,......Labda Ndetichia ndio angependa iwe draw lakini si Bala.....In your dreams.
Mkuu sio ngumu ila timu yetu ina matattizo kwamba inaweza kupiga chandimu cha kufa mtu kama leo na mechi inayofuata tukacheza kama Mtibwa kama tutacheza kama tumecheza leo goli 5 tunaweza kushinda Emirates.Sasa ni Liverpool.... AC Milan itakuwa ngumu sana kubridge ile gape ya goals....
Aondoke tu.........Wakuu vipi kocha aondoke au abaki??
Usije ukaingia mkenge....Utaliwa.....Hongereni Gooners.
Mngekua na consistency,hakika ningeweka pesa yangu kwenu versus Milan. Ila naogopa kupoteza bet.
Siku hiyo nitafurahia football tu.