Kumbuka 'Football is a game of chance'..........
So lolote lawezekana.....
Spurs wanatamani Refa amalize mpira.......
Wangeshinda leo wangeongea sana hawa......
Unaelewa maana ya neno 'salamu' lakini?......Angalau umeongea kama mpenzi wa mpira na sio mshabiki!
Lolote laweza tokea. Na sio maneno uliyosema awali!
Siku zote anang'ara mkuu....Tatizo ni mashetani ya AW.......Siku zote yanamtuma amuanzishe Ramsey ambaye ni bure kabisa....uncle thom leo ameng'ara,,
Unaelewa maana ya neno 'salamu' lakini?......
Anyways tuyaache hayo.........Naona Norwich City wamesawazisha
Siku zote anang'ara mkuu....Tatizo ni mashetani ya AW.......Siku zote yanamtuma amuanzishe Ramsey ambaye ni bure kabisa....
The qn is.... will I stop criticizing WALCOTT????
Najiuliza how it feel unapo lead kwa goli mbili then in turn unapigwa MKONO "KONGORO" .... So Proud to be a GOONER on times like this!!!!
Aaaaaah Kijana wa Eastland.....Naona leo mambo yako mswanoooooooo...chamberlin ndani..
Giggsy kamaliza kazi hapa kwenye mechi yake ya 1000.
Wakuu vipi kocha aondoke au abaki??