Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Leo arsenal wanashnda au ...?
shehe yahaya kashakufa kamuulize t.b joshua!
Leo arsenal wanashnda au ...?
kaka vipi?unajifunza ku-post au?
Goaaaaaaal
Bonge la move, kama Arsenal ya zamani.
Haka ka Mike Dean huwa kanatuumiza sana haka.......Hakana tofauti na Howard Webb.....
Sikapendi....
Mkuu karibu.
Hivyo vijamaa ni vinazi vya Liverpool hivyo!!