Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa Kichina Jamaa Kasema "这个是非常标准“ 。。。Alikua anacoment goli la RVP........
 
Hii game kama tukikomaa twaweza Shinda... Hapa ndo AW inabidi adhihirishe Uproff wake....
 


The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch


Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

28rejux.png

leo arsenal na totenham itakuaje
 
OX na Gervinho wanaanzia Bench then Walcott ndani???? AW vp???

Upangaji wake mara nyingi unasababisha kufanya vibaya katika mechi. IMO hao wote wangestahili kuanza maana huwa wanaongeza sana kasi ya mashambulizi na hivyo kuifanya defence yoyote ile isambaratike. Natumai wataanza katika kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom