Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Wenger kamtoa dogo? Huyu babu vipi huyu
Mashabiki wamemtukana sana........ebo? huyu Arsene Wenger naye vipi? Alex Chamberlain ndiye aliyekuwa anasaidia kuliko Theo!
hahahaha....sasa nimeamini huyu manager kweli anao ule ugonjwa wa wazungu vizee!