Van P! Why? Why???
Rosicky asingeweza kufunga pale.......Kafanya jambo zuri kumpa RVP.....Naye ndo hivo tena kakosaNimesmhangaa lakini Rosicky kaogopa nini pale kufunga wakati alikuwa kashamuacha beki?
...bajeti inaruhusu, lakini malengo ya team hayaruhusu!
chairman wenu bomba sana, it's all about profit not trophies!
Tunacheza vizuri sana......Tatizo ni umaliziaji