Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo Miquel yupo, labda aende kati Miquel alafu Koscienly aende kulia, na hapo bado utakuwa umechanganya habari kinoma.

NANI anatusumbua sana, Varmelen amewaza kumzima Valencia vya kutosha
Wenger bana kwa nini asimrudishe Djorou kati huyo Koscienly aende kulia maana ManU magoli yao yanatokea pembeni
 
9vTCAO+YM2sgoAAAAASUVORK5CYII=
...
56. Nicholas Yennaris.

Hivi inakuwaje timu zingine wana wachezaji wazuri kwenye bench lakini sisi hatuna?
 
Dogo Miquel yupo, labda aende kati Miquel alafu Koscienly aende kulia, na hapo bado utakuwa umechanganya habari kinoma.

NANI anatusumbua sana, Varmelen amewaza kumzima Valencia vya kutosha
Vermaelen naye bado kabisa! Alikuwa na uwezo wa kucheza kross iliyosababisha goli! He is out of position!
Wenger now needs to asses both left na right back positions!
 
Wenger bana kwa nini asimrudishe Djorou kati huyo Koscienly aende kulia maana ManU magoli yao yanatokea pembeni

Ni akili nzuri lakini ukimueka Djouro kati na Martesecker unataka Rooney apate hat-trick?

Djouro mzito sana na anawapa nafasi nyingi sana.
 
Bado lazima tuwachape leo mnaongea sana,alafu kiwango chenu na mpira hakifanani na United hata nusu,mmeona mpira uliochezwa first half....sasa mnawaza sub
 
Vermaelen naye bado kabisa! Alikuwa na uwezo wa kucheza kross iliyosababisha goli! He is out of position!
Wenger now needs to asses both left na right back positions!

Vermelen so far kacheza poa sana ukitoa kosa lake liloleta goli.
 
Eboue alikuwa hana tatizo la kupigwa bench lakini Wenger kaenda kumuachia sasa hivi anaangaika Sagna akiumia.
 
Back
Top Bottom