Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread


...mnh, haya sasa! powa lakini...maana tukianza kufunga sisi inakuwa kama uchuro!
 
Eti huyu Chamberlain ndio anapigwa bench Arshavin anaaza kila siku; kweli kocha akiishiwa mbinu anakuwa kama kipofu.
 
hv bench hakuna mbadala wa djorou?


9vTCAO+YM2sgoAAAAASUVORK5CYII=
...
[h=1]56. Nicholas Yennaris.[/h]
 
Naangalia bench letu linakatisha tamaa, wala simuoni nani aje kuchukua nafasi ya Ramsey, Rosicky nae atoke tu nae pia sijui nani aje.

Tunasikitisha, na Wenger anakwambia haitaji kununua anasubiri majeruhi wapone wawe super signing wake.
 
Djourou anatugharimu sana.......Ni uchochoro

Wenger sijui kwa nini alimuuza Emmanuel Eboue.....
 
Back
Top Bottom