Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Rosicky ni bora kuliko hizo chuya nyingine....Ni mzuri sana kwa kubadilisha mchezo,hata leo yeye ndio alibadilisha mchezo mara baada ya kuingia na kutoka Benayoun ambaye alipwaya kati..N hapo hatufanyi wala usajili tunamalizia msimu na akika Arshavin na Chamakh.
Arshavin, Chamakh, Rosicky, Diaby na Squallaci hawa watu wanajaza tu nafasi; wote ni wakuwaachia waondoke
Rosicky ni bora kuliko hizo chuya nyingine....Ni mzuri sana kwa kubadilisha mchezo,hata leo yeye ndio alibadilisha mchezo mara baada ya kuingia na kutoka Benayoun ambaye alipwaya kati..
Btw....Mwaka huu ubingwa unaweza kwenda White Hart Lane....
Halafu huyu Sinclair ananikumbushia Lunyamila lol
Ligi ya Uingereza ni ngumu, tukubali hilo, there is nothing as such as an easy match or team.
Arsenal hawana depth kwenye squad yao, ubahili wa Wenger kwa kushirikiana na owners.
Tunasubiri tuwakaange kisawa sawa..ha ha
Arsenal ni full presha..ila naona wewe ni 100% damu damu nayo!
Namsubiri Kaka yangu Wacha
kwani the "old guard" Henry alicheza leo?.........
Namsubiri Kaka yangu Wacha
vipi wazee wa vibabu..
Sisi tuna vibabu na wana experience na ndio tunawategemea sana sasa vipi nyinyi kila siku mnapoteza na watoto inakuwaje hivi,na weekend tunakuja na huu mpira mliocheza leo mtakunywa nyingi sana
N hapo hatufanyi wala usajili tunamalizia msimu na akika Arshavin na Chamakh.
Arshavin, Chamakh, Rosicky, Diaby na Squallaci hawa watu wanajaza tu nafasi; wote ni wakuwaachia waondoke