Unatamani ungekua shabiki wa Arsenal hatutumii chatgpt kujenga hojaHii vita ni kali, sema nini at least mwana gooner mmoja kachoka kuwa ng'ombe kachoka kupelekwa pelekwa, wengine na nyie amkeni sio mnakua kama mazombie.
N.B. Battle liendelee kwa fact, back ground huku tupo tunafatilia.
Akili zipo lakini? Madueke alikua sub?Nimekuuliza kitu haujajibu.
Ukiachilia hoja ya seniority na uwanja kua away kipi kinafanya uone Madueke ni sub ya kukupa matokeo?
Siyo wanakutana FA? Baada ya game ya juzi ya Brighton nikawa nataka kujua wanakutana lini na City, nafikiri niliona wanakutana kwanza FA.Tulichukua points 3 kwa mbinde sana kutoka kwa villa
Man city amedondosha points tatu kirahisi sana kwa villa
Mechi inayofata kwenye ligi, city anakutana na brighton ambapo arsenal alidondosha points 3 kama utani. Itakuaje kuhsu city? Tuache muda utaongea
Ni unaenjoy tu kupinga ila haujui kwanini unapinga? Kushare material na kinega kama wewe ni sawa kwakua injili kwa watu kama wewe lazima itembeeAkili zipo lakini? Madueke alikua sub?
Halafu nikuelezee mtu ambae hujifunzi material yaende bure.
Nimekupa facts nyingi na maelezo ya kutosha.Ni unaenjoy tu kupinga ila haujui kwanini unapinga? Kushare material na kinega kama wewe ni sawa kwakua injili kwa watu kama wewe lazima itembee
Wakati mwengine inabidi ujifunze kukaa kimya sio kutaka kuprove point kwenye kila kitu, in fact hauna ujuzi huo ni kubwabwaja tu.Ni unaenjoy tu kupinga ila haujui kwanini unapinga? Kushare material na kinega kama wewe ni sawa kwakua injili kwa watu kama wewe lazima itembee
Game mbili mfululizo city anakutana na brighton, wataanza carabao then watakutqna tena kwenye ligiSiyo wanakutana FA? Baada ya game ya juzi ya Brighton nikawa nataka kujua wanakutana lini na City, nafikiri niliona wanakutana kwanza FA.
Lini hiyo nilikuambia najua kukuzidi?Nimekupa facts nyingi na maelezo ya kutosha.
Wewe sasa in turn umekaa kugeuza maswali yangu mengi, usidhani sijaona ila nimechukulia bado ww ni mdogo kimpira una mengi ya kujifunza.
Point kuu ni kwamba hauna unachojua kuwazidi wengine kwahiyo unapokosea sehemu na ukaelekezwa just admit.. fact ya kwamba ulifikia mpka kujibu matusi shows how insecure you are.
Am very proud of you. Keep representing huo upandeWakati mwengine inabidi ujifunze kukaa kimya sio kutaka kuprove point kwenye kila kitu, in fact hauna ujuzi huo ni kubwabwaja tu.
Na unapowaona watu wametulia hawacomment kitu pamoja na ww kuchamba umbea sio kwamba hawajui wanakuchora tu.
Tutaelewana tuu. Keep em coming!
Come again. Nipo hapa. Ila hakikisha mazungumzo yawe yanahusu Dowman and Dowman related "-" vs Bayern. Tusi diverge sana kutoka hapo.Lini hiyo nilikuambia najua kukuzidi?
Tumehama mpira sasa umeanza kujifanya unanijua