makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,739
- 109,313
Striker sio lazima afunge sana, ni ana mchango gani na matokeo.. yule bobby firmino haluwa mfungaji sana lakini mchango wake unajulikana.Awe kama Evanilson. Akiwa anafeli kuscore anafocus na kutoa assists