Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Come again. Nipo hapa. Ila hakikisha mazungumzo yawe yanahusu Dowman and Dowman related "-" vs Bayern. Tusi diverge sana kutoka hapo.

Ila sina agenda yoyote mbaya against our players, iwe Madueke, Eze, Dowman, etc.. just against Bayern.. nipo hapa!
Sikuelewi umeandika nini
 
Sasa pale kulikua na offside gani ya kuangalia?
Kuna games nyingi sana za epl, mimi huwa naangalia mara moja tu nasema hiyo ni offside au onside, lakini utashangaa VAR hutumia zaidi ya dakika 1. Its kind of stupidity
 
Tumekua dominant kwenye hii mechi in terms of possession ila hatujawa watamu kwenye chances. Zilikuepo chances but finishing ilikua below average.

Huyu Raya anaweza kupokea tena tuzo ya kipa bora. Tangu tupoteze dhidi ya Brighton tumereact vizuri na tumemaintain momentum.

Challenge yetu kwa sasa ni kuscore magoli mengi.
 
Special thanks should go to this man today!
👍🙏💪🏋️
Screenshot_20261024-192632.jpg

On behalf of all gooners, THANKS NICOLAS JACKSON!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom