Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,285
- 16,531
Haya ngoja kwanza, twende taratibu.. umeanza kwa kusema msimu huu Bayern amefungwa magoli ya aina 3 ulizotaja.. baada ya hapo unatoa takwimu za mwaka jana za Dowman ku clarify what you said.. sasa naomba uweke takwimu za mwaka jana za Bayern ili twende sawa, otherwise information zako ziko biased.Hujui kitu kwenye hili.
Hujui kitu kwenye hilo.
Okay sawa.
Goli la kwanza tuliscore kwa Eze kutime a run ya mpira mrefu wa Odegaard. Bayern msimu huu wamefungwa magoli ya long ball, counter na breaking play.
Kwa goli la Eze tayari ilimaanisha tumeshaexploit hilo bado kuexploit na hizo angles mbili.
Counter na breaking play huwezi kuifanya na Kai, ni ngumu sana. On paper Madueke ana qualities za kukupa counter na breaking play lakini in practice hafanyi hivyo.
Badala yake Dowman anaweza kufanya hivyo comfortably kuliko Madueke, msimu wa 25/26 kwenye EPL Dowman amecheza mechi 6 na Madueke kacheza mechi 26.
Dowman hua anaingia kumalizia dakika za mwishoni.
Kwenye hizi mechi Madueke ana magoli 3. Dowman ana goli 1, Madueke ana assist 1 Dowman hana assist. Madueke katengeneza nafasi 22, Dowman katengeneza 4.
Kitakwimu, Dowman ni mpiga pasi mzuri kuliko Madueke, Dowman ana 88% za successful passes wakati Madueke ana 76%.
Long balls, iliyotugea goli la kwanza, Dowman ana 100% kwenye kupiga mipira mirefu Madueke ana 55%.
Dowman kutokana na ana tabia ya kwenda mbele na kuingia kwenye boksi huku anaficha mpira kwenye hizi mechi 6 kawa awarded penati 1. Madueke hapa ana 0.
Madueke alivyoingia, Davies akawa anapanda bila uoga, na goli akascore. Madueke akiingia anakufanya uone possibilities nyingi lakini anaweza asiifikie hata moja.
Dowman ana possibilities labda mbili, akiwepo una uhakika kwamba huyu lazima atataka kulifuata boksi na lazima atajaribu kupeleka mpira mbele.
Nilivyoandika personally ni kwakua mimi siyo wewe wala Arteta, mimi niliamini fursa zipo na kwa forwards tulionao Dowman angeweza kuziexploit.
Maana yake utakua ume compare mechi chache za Bayern alizocheza msimu huu in relation ya statistics zako ulizokuja nazo za msimu uliopita.
Hapo km ndo unafanya research chuoni tayari umeshafeli.
Tuendelee.
Umezungumzia successfull passes Dowman ana 88% Madueke ana 76%. Na tayari umeshasema Dowman kacheza mechi 6 last season na kacheza dk chache.. maana yake ametumia muda mchache uwanjani na risk ya misplace pass ni ndogo tofauti na mtu aliecheza 70' or 90'.
Tukija kwenye maana ya successful pass rate, ni asilimia ya usahihi ktk pass alizopiga mchezaji dhidi ya jumla ya pass alizoattempt.
Ko kibinaadamu not ideal, maana yake more minutes, less successful pass rate.
Ukija kwenye takwimu source zangu zinaniambia Dowman ana successful pass rate ya 82.3% katika mechi 6 alizocheza, tofauti na ww ulivyosema (jaribu ku cross check tena).
Ila hata hivyo, still kawazidi wachezaji wengi kwenye position yake km vile Saka (76.7%) na Trossard (77.0%).
Kwahiyo kwa kigezo hicho cha successfull passes unataka kusema Saka ni mbovu?
Let's say Trossard ndo yuko benchi, Saka kaumia kwenye dk ya 10, ainuliwe Dowman badala ya Trossard kwakua Dowman anaweza kumdhuru Bayern kwa takwimu zake za msimu jana?
Ukija kwenye long balls the same iyo 100% yako jiulize kapiga long balls ngapi? Kwa dk ngapi alizocheza? Probably the best kwa mchezaji wa Arsenal kwa msimu jana mana kamzifi hadi best passer wetu Ødegaard. Je, still inampa faida ya kuanza above them?
To make story short, mpira hauchezi na statistics acha ujinga ujinga wewe, muda mwengine inahitajika mentality ya kikubwa kupata matokeo, bila hivyo wachezaji kama Henderson wasingekua na timu.
Uko away vs Bayern, kaumia first team player dk ya 10, unataka aingie youth player/prostect.. are you out of your mind?