Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usiandike tena maneno ya jikoni ukiwa unaongea na mimi.

Elimu ipi wewe dogo? Shabiki wa Masaki una hasira unataja makazi yangu kwa nguvu sana.
Hapa mjinga ni wewe. Mimi nipo kivule naona match inahitaji intensity kwenye box la mpinzani ila kocha hakuona hivyo mwanzoni, baadaye akaona intensity inahitajika akaleta mchezaji wa kuongeza intensity ila wewe hukuona hiyo haja hapa mjinga ni wewe.
Kwahiyo wewe hapo mchambaji wa kimbiji kwa jicho lako ndo umeona mechi inahitaji intensity, kocha alieko uwanjani hajaona! 😁

Na baada ya kuona game inahitaji intensity km ulivoona wewe ndio akaingiza mchezaji wa intensity..

Oh, okay. Naona tumeenda kwenye mada mpya ya intensity, haya niambie ni mchezaji gani huyo alieingizwa kuongeza intensity? Tuanzie hapo.
 
Unarudia nini sasa wakati ni fact, ni kweli wewe elimu yako ni ndogo kuliko Arteta.

Na nasubiri kukuona ukichamba umbea baadae, au nimekosea hapo?
Elimu gani?

Sikuwahi kujua kama tuna gay gooner mTanzania. Klabu yetu inapokea kila mtu, I respect you kwa ulivyo, ila usiniandikie maneno ya kike.
 
Kwahiyo wewe hapo mchambaji wa kimbiji kwa jicho lako ndo umeona mechi inahitaji intensity, kocha alieko uwanjani hajaona! 😁

Na baada ya kuona game inahitaji intensity km ulivoona wewe ndio akaingiza mchezaji wa intensity..

Oh, okay. Naona tumeenda kwenye mada mpya ya intensity, haya niambie ni mchezaji gani huyo alieingizwa kuongeza intensity? Tuanzie hapo.
Doh 😣 hatimaye. We have our very own gay gooner.
 
Usiandike tena maneno ya jikoni ukiwa unaongea na mimi.

Elimu ipi wewe dogo? Shabiki wa Masaki una hasira unataja makazi yangu kwa nguvu sana.
Hapa mjinga ni wewe. Mimi nipo kivule naona match inahitaji intensity kwenye box la mpinzani ila kocha hakuona hivyo mwanzoni, baadaye akaona intensity inahitajika akaleta mchezaji wa kuongeza intensity ila wewe hukuona hiyo haja hapa mjinga ni wewe.
Nakubaliana na wewe hapo kwenye ujinga, ni kweli mjinga sio tusi (tuki refer na what you accused me of, for call you "kichogo" as an insult) ni mtu asiyejua au kuwa na elimu juu ya jambo fulani..
Elimu gani?

Sikuwahi kujua kama tuna gay gooner mTanzania. Klabu yetu inapokea kila mtu, I respect you kwa ulivyo, ila usiniandikie maneno ya kike.
Ila hapa umevuka mipaka, ni dalili ya kushindwa kwenye hoja zako.. na it's okay mtu kushindwa, sababu unapata kujifunza kitu.

But this is way too far kijana.. labda ungerudi kwenye mada, au takwimu zako za kina Madjo zimeisha hauna mifano mengine?
 
Doh 😣 hatimaye. We have our very own gay gooner.
😂 kupaniki ni dalili za mtu aliyeshindwa.. km umeamua kufikia huku ni wazi umeonesha kushindwa, unatumia hii mbinu ku put things into bed. Nakuelewa.

Mwishooni kabisa ndio unaonesha akili yako halisi jinsi ulivyo.
 
Nakubaliana na wewe hapo kwenye ujinga, ni kweli mjinga sio tusi (tuki refer na what you accused me of, for call you "kichogo" as an insult) ni mtu asiyejua au kuwa na elimu juu ya jambo fulani..

Ila hapa umevuka mipaka, ni dalili ya kushindwa kwenye hoja zako.. na it's okay mtu kushindwa, sababu unapata kujifunza kitu.

But this is way too far kijana.. labda ungerudi kwenye mada, au takwimu zako za kina Madjo zimeisha hauna mifano mengine?
Wewe umededuce mimi nina negativity kutokana na ninachoandika.

Maneno unayoandika yamenifikisha kwenye hiyo conclusion. Hata baada ya kukuambia uyaache ukakomaa nayo.

Tukistick na ninachokiamini kwenye mpira, mifano ninayo. Ni wewe ndiye hauijui
 
😂 kupaniki ni dalili za mtu aliyeshindwa.. km umeamua kufikia huku ni wazi umeonesha kushindwa, unatumia hii mbinu ku put things into bed. Nakuelewa.

Mwishooni kabisa ndio unaonesha akili yako halisi jinsi ulivyo.
Bado hakuna hoja ya kuihusu Arsenal niliyoisema ikashindwa kutokana na maneno yako ya jikoni.

Hakuna.
 
Wewe umededuce mimi nina negativity kutokana na ninachoandika.
Ni kweli negativity unayo na unatakatiwa kuondokana nayo. Admit.
Maneno unayoandika yamenifikisha kwenye hiyo conclusion. Hata baada ya kukuambia uyaache ukakomaa nayo.
So naweza sema you're not matured enough, you can easily get carried away. Btw ungefocus na points za muhimu hayo mengine yaliyokufanya kuwa uncomfortable ungeyachukulia km destruction isingekua ishu kwako.
Tukistick na ninachokiamini kwenye mpira, mifano ninayo. Ni wewe ndiye hauijui
Haya ndo mambo yanayohusiana na hili jukwaa.. haya kwa kutumia mifano yako toa ufafanuzi unaoeleweka kuhusiana na hoja kuu na kwa nini tukubaliane na ww unachokiongea na sio kocha?
 
Bado hakuna hoja ya kuihusu Arsenal nioiyoisema ikashindwa kutokana na maneno yako ya jikoni.

Hakuna.
Kurusha matusi badala ya kuongelea mada husika ni dalili ya kushindwa, maana yake unatoka nje ya lile linalozungumza unaamua kumu attack mtu kwa namna nyengine ili akuache.. na mm siwezi kukuacha ukaendelea kufanya ujinga. Nataka nikunyooshe!
 
Ni kweli negativity unayo na unatakatiwa kuondokana nayo. Admit.
Mimi ni realistic. Sipo kwenye kapu la shabiki asiyeweza kuona zaidi ya anachotamani kiwe.
So naweza sema you're not matured enough, you can easily get carried away. Btw ungefocus na points za muhimu hayo mengine yaliyokufanya kuwa uncomfortable ungeyachukulia km destruction isingekua ishu kwako.
Hakukua na points ulizoandika.
Haya ndo mambo yanayohusiana na hili jukwaa.. haya kwa kutumia mifano yako toa ufafanuzi unaoeleweka kuhusiana na hoja kuu na kwa nini tukubaliane na ww unachokiongea na sio kocha?
Mada ilianzia mimi kusema angeingia Dowman. Si ndivyo? So tuanze moja hapo bila maneno ya jikoni au sivyo?
 
Mimi ni realistic. Sipo kwenye kapu la shabiki asiyeweza kuona zaidi ya anachotamani kiwe.
Hauna urealist wowote wewe ni doubter. Shabiki wa kweli hawezi kukaa kutafuta makosa madogo madogo ayaongelee ili aonekane yeye yupo sawa.
Hakukua na points ulizoandika.
Sababu akili yako iko kwenye default ya negativity. Upo kwenye denial hutaki kukubali unachoambiwa.
Mada ilianzia mimi kusema angeingia Dowman. Si ndivyo? So tuanze moja hapo bila maneno ya jikoni au sivyo?
Yeah. Now you go. Kinachokufanya uwe sahihi kwenye hilo ni nini?
 
Hauna urealist wowote wewe ni doubter. Shabiki wa kweli hawezi kukaa kutafuta makosa madogo madogo ayaongelee ili aonekane yeye yupo sawa.
Hujui kitu kwenye hili.
Sababu akili yako iko kwenye default ya negativity. Upo kwenye denial hutaki kukubali unachoambiwa.
Hujui kitu kwenye hilo.
Yeah. Now you go. Kinachokufanya uwe sahihi kwenye hilo ni nini?
Okay sawa.

Goli la kwanza tuliscore kwa Eze kutime a run ya mpira mrefu wa Odegaard. Bayern msimu huu wamefungwa magoli ya long ball, counter na breaking play.

Kwa goli la Eze tayari ilimaanisha tumeshaexploit hilo bado kuexploit na hizo angles mbili.

Counter na breaking play huwezi kuifanya na Kai, ni ngumu sana. On paper Madueke ana qualities za kukupa counter na breaking play lakini in practice hafanyi hivyo.

Badala yake Dowman anaweza kufanya hivyo comfortably kuliko Madueke, msimu wa 25/26 kwenye EPL Dowman amecheza mechi 6 na Madueke kacheza mechi 26.

Dowman hua anaingia kumalizia dakika za mwishoni.

Kwenye hizi mechi Madueke ana magoli 3. Dowman ana goli 1, Madueke ana assist 1 Dowman hana assist. Madueke katengeneza nafasi 22, Dowman katengeneza 4.

Kitakwimu, Dowman ni mpiga pasi mzuri kuliko Madueke, Dowman ana 88% za successful passes wakati Madueke ana 76%.

Long balls, iliyotugea goli la kwanza, Dowman ana 100% kwenye kupiga mipira mirefu Madueke ana 55%.

Dowman kutokana na ana tabia ya kwenda mbele na kuingia kwenye boksi huku anaficha mpira kwenye hizi mechi 6 kawa awarded penati 1. Madueke hapa ana 0.

Madueke alivyoingia, Davies akawa anapanda bila uoga, na goli akascore. Madueke akiingia anakufanya uone possibilities nyingi lakini anaweza asiifikie hata moja.

Dowman ana possibilities labda mbili, akiwepo una uhakika kwamba huyu lazima atataka kulifuata boksi na lazima atajaribu kupeleka mpira mbele.

Nilivyoandika personally ni kwakua mimi siyo wewe wala Arteta, mimi niliamini fursa zipo na kwa forwards tulionao Dowman angeweza kuziexploit.
 
Haya ngoja kwanza, twende taratibu.. umeanza kwa kusema msimu huu Bayern amefungwa magoli ya aina 3 ulizotaja.. baada ya hapo unatoa takwimu za mwaka jana za Dowman ku clarify what you said.. sasa naomba uweke takwimu za mwaka jana za Bayern ili twende sawa, otherwise information zako ziko biased.
Maana yake utakua ume compare mechi chache za Bayern alizocheza msimu huu in relation ya statistics zako ulizokuja nazo za msimu uliopita.
Hapo km ndo unafanya research chuoni tayari umeshafeli.

Tuendelee.
Umezungumzia successfull passes Dowman ana 88% Madueke ana 76%. Na tayari umeshasema Dowman kacheza mechi 6 last season na kacheza dk chache.. maana yake ametumia muda mchache uwanjani na risk ya misplace pass ni ndogo tofauti na mtu aliecheza 70' or 90'.

Tukija kwenye maana ya successful pass rate, ni asilimia ya usahihi ktk pass alizopiga mchezaji dhidi ya jumla ya pass alizoattempt.
Ko kibinaadamu not ideal, maana yake more minutes, less successful pass rate.

Ukija kwenye takwimu source zangu zinaniambia Dowman ana successful pass rate ya 82.3% katika mechi 6 alizocheza, tofauti na ww ulivyosema (jaribu ku cross check tena).

Ila hata hivyo, still kawazidi wachezaji wengi kwenye position yake km vile Saka (76.7%) na Trossard (77.0%).
Kwahiyo kwa kigezo hicho cha successfull passes unataka kusema Saka ni mbovu?
Let's say Trossard ndo yuko benchi, Saka kaumia kwenye dk ya 10, ainuliwe Dowman badala ya Trossard kwakua Dowman anaweza kumdhuru Bayern kwa takwimu zake za msimu jana?

Ukija kwenye long balls the same iyo 100% yako jiulize kapiga long balls ngapi? Kwa dk ngapi alizocheza? Probably the best kwa mchezaji wa Arsenal kwa msimu jana mana kamzifi hadi best passer wetu Ødegaard. Je, still inampa faida ya kuanza above them?

To make story short, mpira hauchezi na statistics acha ujinga ujinga wewe, muda mwengine inahitajika mentality ya kikubwa kupata matokeo, bila hivyo wachezaji kama Henderson wasingekua na timu.

Uko away vs Bayern, kaumia first team player dk ya 10, unataka aingie youth player/prostect.. are you out of your mind?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom