Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,258
- 16,525
Kwahiyo benchi limekuambia halienjoy Eze akikaa kule 😃Unahisi anawekwa kule pembeni kwakua benchi linaenjoy akikaa kule?
Kwahiyo benchi limekuambia halienjoy Eze akikaa kule 😃Unahisi anawekwa kule pembeni kwakua benchi linaenjoy akikaa kule?
Kwa scenario ya jana still Eze alikua ahead of Dowman kwa hayo uliyosema.. hakukua na haja ya jamaa kucritisize maamuzi ya kocha.uwezo wa kiuchezaji kipindi hiki unapimwa zaidi na fitness yako mchezaji pamoja na uelewa wako zaidi wa mbinu ,ufanye maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
unaweza ukawa mzuri mguuni ila ukaishia benchi ,umri mkubwa sio kigezo sna cha kuwa unapewa dk nyingi za kucheza.
Kwa scenario ya jana still Eze alikua ahead of Dowman kwa hayo uliyosema.. hakukua na haja ya jamaa kucritisize maamuzi ya kocha.
Wewe jamaa bwana 😂Wewe hapo huelewi nini naposema senior replacement.. haya ngoja nikulainishie kidogo.
Kwa wewe usiyeelewa naposema senior replacement maana rahisi anatoka senior/first team/regular player anabadilishwa na senior/first team/regular player. Kwa maana hiyo alivotoka Saka, kwa kuwa option zilizokuwepo kwa upande wa wings ni Eze na Dowman.. tayari Eze anabeba advantage sababu ana uzoefu zaidi na ni more regular ukilinganisha na Dowman.
Kuhusu Eze kucheza wing, come on..! Kumbe we ni mweupe hivi.. kwahiyo Eze hajawahi cheza wing? Sawa naturally ni no. 10, lakini ni versatile anaweza cheza kutokea pembeni km wing ya kushoto, madueke akatokea kulia. Amewahi cheza LW mara kadhaa alipokua QPR na Crystal Palace, i feel so embarrassed kukuelezea haya ukizingatia uzoefu wko uliotuambia.
Tusihame kwenye maisha, huko nitakosa cha kuandika. Tustick na mpira, ndiyo kitu nakijua.Naomba ujifunze jambo moja bwana Castr , jitahidi upunguze NEGATIVITY.. nakuona mara nyingi tu huwa unaleta mtazamo hasi jukwaani.
Kwa mfano kuna posts huwa unatuma kabla ya mechi, which are good insights kwa jinsi ulivyoona wewe.. ila ndani yke utaweka dhana ya kukosoa, yani sijui ni kujihami au kutokujiamini. Unajipa negative energy ww na watu wengine wanaosoma.
Sasa sikia nikwambie kitu, hakuna timu iliyo perfect! We mpka unaona kocha amekuanza na timu flani au kafanya mabadiliko flani ndani ya mechi ujue hajakurupuka, tena hiyo ni baada ya kushauriana na benchi lake kujua wanataka nini kwenye mechi.
Sio dhambi kocha nae ni binadamu anaweza kukosea. Wote sisi tunakosea.
Ila nakusihi jaribu kuenjoy football.. hatuwezi kuwa sawa kiuchezaji na PSG, Barcelona, City, Chelsea, etc.. sababu ya utofauti wa wachezaji, aina ya uchezaji, hali ya mchezo, etc, etc.. nadhani unaelewa nikisema hivyo maana ww ndo umetuzidi wote humu kwa kuangalia mechi nyingi yani unaangalia mpka timu ambazo hazikuhusu.
Hivyo usijilinganishe bro, hata kwenye maisha.. just enjoy football.