Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,043
- 79,141
Eh umeanza matusi tena.😂 kwa majibu haya naamini umeanza kuelewa ila bado unarudi tena kule kule na kichogo chako..
Kwahiyo shabiki akimfukuzisha kocha ndio anajua? Wangapi baada ya kocha kufukuzwa wanakuja kusema uongozi ulikosea na wangetamani kocha apewe muda?
Mashabiki wangapi wa Arsenal walitaka Mikel aondolewe baada ya kuanza vibaya?
Mi nakuacha mzee, tufanye mambo mengine