mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,421
- 57,318
Kipigo wanachotoa jamaa Wana maanisha hawabahatishi Wana uhakika na kazi yao
Yaani wanatupiga kwa haki kabisa. Huwezi hata kulalamika.Gunners tumepatikana leo!
Duh! Hawa Brighton siyo mchezo mchezo kabisa!
Tuko hoi! Anyway. NDIO MPIRA WADAU!
True bro....Yaani wanatupiga kwa haki kabisa. Huwezi hata kulalamika.
SawaHii game tukipindua meza, basi arsenal itakua confirmed bingwa
Wakija kuwashinda man city basi watakuwa favourite kubeba EPL.Kipigo wanachotoa jamaa Wana maanisha hawabahatishi Wana uhakika na kazi yao
Utapindua meza ya vitumbua nasema hivi sasa mjiandae vzr maaanaHii game tukipindua meza, basi arsenal itakua confirmed bingwa
HalikaKama mlivyokuwa mnabwabwaja kwenye uzi wa Chelsea, hvy hvy mje mbwabwaje kwenye uzi wenu
Haya matokeo ni fair 100%Tukicheza na timu yoyote na ikacheza kama ambavyo Brighton anavyocheza na nyumbu leo na hiyo timu ikatufunga sitolalamika hata kidogo.
This is total dominance