Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukicheza na timu yoyote na ikacheza kama ambavyo Brighton anavyocheza na nyumbu leo na hiyo timu ikatufunga sitolalamika hata kidogo.

This is total dominance
Tupe matokeo KENGE nyie

😂😂

Naona mme-dominate leo
 
Viko vitimu vitatu vinaanzia na herufi B

1. Brighton

2. Brentford

3. Bournamouth

Hizi lazima zikuchane chane.

Lakini huyu arteta wa leo katia aibu sana 😂😂
 
Mashabiki wa Man U muda huu
 
Attachments

  • mtiro_zegreat94_20210512_203536_0.mp4
    7.9 MB
Watu walikuwa wanatusubiria sana tupigwe aisee. Daah. Sijawahi kuona notifications nyingi kwenye JF yangu kama leo hii.

Bahati nzuri ni kwamba kama kawaida, siku tukifungwa ndiyo kazini mambo yanakuwa chungu mzima zaidi na zaidi. Hapa tayari naingia mzigoni hivyo naweza kushindwa kuingia humu kwa siku kadhaa, mpaka nilazimishe sana.
 
FB_IMG_17898388473432612.jpg
 
Nilikuta nina notifications 150. Hata kuangalia nani kasema nini nimeshindwa
 
Tukicheza na timu yoyote na ikacheza kama ambavyo Brighton anavyocheza na nyumbu leo na hiyo timu ikatufunga sitolalamika hata kidogo.

This is total dominance
sema hii ulishajua leo lazima mbikiriwe umetoa mfano mzri kumbe wana walikuwa wanawazoom 😂😂
 
Hii loss ni wake up call.

Brighton wamecheza exactly walivyocheza na nyumbu ni kama vile Arteta hiyo mechi hakuiona. Hawa jamaa wanapiga one two, wanafanya gegenpress, wanafanya swarming kwenye goli.

Kila walichokua wanafanya leo kilitakiwa kifanywe na timu inayotaka ushindi.

Magoli mawili ya nje ya 18 yalishaonyesha kwamba mid yetu imezidiwa, lakini pia leo ni ushahidi kwamba Rice na Bruno hawatakiwi kuanza. Labda wajirekebishe siku zingine huko.

Wote walikua wanaliacha dimba, hii ikasababisha magoli mawili. Mabeki wetu walikua wanakimbilia kuingia ndani ya boksi wakidhani Brighton ina mpango wa kuingia ndani ya boksi. These guys just smashed the ball nje ya 18.

Chuma mbili zikaitika.

Same pattern, kwenye mid wanapita kama hakuna mtu, isolated player anapata mpira. Defense yetu inarudi nyuma mtu anageuka anasmash mpira.

Ambaye alitakiwa amsakame huyu anayepiga mpira ni Bruno na Rice lakini by this time wapo mbele huko wameachwa na one two za hawa watu. So lilivyoingia goli la pili kwa pattern ileile means tunahitaji CM ambaye atakua hasogei mbele.

Nikaamini Skelly inabidi aingie.

Kocha akaingiza Merino na Eze. Two slow players.

Kwa upande wangu suba hazikua sahihi. Lakini pia kuna kanuni ya kuchagua timu inayosema usibadili kikosi cha ushindi.

Kama tayari Skelly na Rice wamesettle na kuelewana ilikua haina haja kutest mitambo kwa timu ambayo inamove fluidly kwa sasa kama Brighton.

Leo jamaa wametuweza kote. Positive ni kujua tu kwamba na sisi tunafungika na hii ni mechi ya tano so tujishikilie
 
Watu walikuwa wanatusubiria sana tupigwe aisee. Daah. Sijawahi kuona notifications nyingi kwenye JF yangu kama leo hii.

Bahati nzuri ni kwamba kama kawaida, siku tukifungwa ndiyo kazini mambo yanakuwa chungu mzima zaidi na zaidi. Hapa tayari naingia mzigoni hivyo naweza kushindwa kuingia humu kwa siku kadhaa, mpaka nilazimishe sana.
Maliza kubeba box ukuje utueleze kwa undani kichapo kilivyokuwa kitamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom