Kikosi kimetoka Timber ameanza, na Bruno ameanza.
With Bruno tuna physical na technical presence kwenye kiungo na hapohapo tuna long shots taker. Pia ni mzuri wa long balls huyu jamaa.
Wingers ni walewale, Tzolis na Saka, AM ni Odegaard.
Hata hivyo nafikiri ilibidi Gyokeres awepo kama Bruno yupo kwakua Bruno siyo mvivu kufanya through balls na long balls.
Kikosi cha Brighton kipo vizuri pia wana Paschal, Kostoulas, Gomez na Cuyper. Wana defense ambayo ina CB pairing inayojuana huku Vuskovic akiwa na sifa ya ziada ya ball playing defender.
On paper kila timu ina chance so kinachobaki ni kwa makocha kua superior technically. Kama tutaacha possession na kufocus na ushindi ni sawa pia kwakua Tzolis ana pace ya kutumika kwenye transition au counter. Shida ni kwamba hatuna mwingine in practice ingawa on paper wapo Odegaard na Saka.
ST wetu bwana Kai sina cha kumsemea. Ambacho ni weakness kwake yeye anakigeuza na kuscore. So tusubiri tuone.
Baada ya hii game tunaenda kwenye international break so ni muhimu kushinda hii mechi kivyovyote.
Let's go