Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madueke anabaki na kipa anakosa goli kama utani vile, Eze amekua anapoteza mipira unnecessarily. Halafu wanacheza very casual, hakuna aggressiveness kabisa.

Anaingia Tzolis hali inabadilika. Eze anaweza tetewa kwamba anacheza namba siyo yake ndiyo sababu anaonekana weak.

Lakini hauoni hata dalili ya kusema huyu jamaa ana uwezo nusu ya mwenye namba hapo. Madueke matatizo ya msimu uliopita, ya kupoteza mipira kizembe, karudi nayo msimu huu.

Kwa timu walizotoka, Crystal Palace na chelsea, ni timu ambazo huchezi na timu zikakupakia basi hivyo walikua na uhuru wa kuzunguka uwanjani na kama kukabwa atafuatwa na mchezaji mmoja. Hapa Arsenal basi linapakiwa kila mechi, na unakabwa na watu mpaka watatu.
 
Odegaard breaks the deadlock with a brilliant finish in off the post! Napoli 0-1 Arsenal

rBAAN2qhw8qARMnxAD3HM3vned8121.gif


rBARMGqhx5yAAJX2AEFz2Ldgeeo187.gif
 
Last season baada ya Sunderland kupanda daraja walisuluhu na sisi.

Ikawa stori, ikaaminika kombe tunalitema.

Wakapost kwenye page.

Rice akasema "It's not over"

And then second leg ikafika tukawafunga 3.

Msimu huu kwenye games 3 kashinda moja, kasuluhu moja na kafungwa moja. Siyo stats mbaya kwa timu yenye potential ya kukuharibia siku.

Arsenal tumerespond kwa kikosi chetu cha siku zote cha EPL. In return wao wametuwekea dirty player Xhaka na mpaka mafuta Le Fee na Sadiki.

Wings wameweka pace na striker wao kariba ya Lukaku, bwana Brobbey.

Kwa trend ya games za leo inabidi tukaze sana. Konsa asilete mapepe huyo Brobbey ni hatari ukimsahau.

6 minutes to watch the Arsenal. Let's see itakavyokua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom