Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wanamchezaji anaitwa Miles? Au ndo huyo dogo Lewis Skelly..
Alafu Chelsea kufungwa Jana watasingizia mkata umeme wao CAICEDO hakuwepo😁😁🤣
 
Sasa swali la msingi.

Chelsea walibadilisha kipa kwa lengo gani haswa?

Hawa watu wanaact kwa mihemko.
Team yenu ilibebwa Gabriel alitakiwa ale red card kwa kuhatarisha afya ya Kipa wetu kwa ule mguu aliyomkita Martinez ukiachana na hapo Refa alikuwa atoi kadi za njano Konsa kacheza rafu tano ikiwemo kumbeba Joao Pedro na zote hajapata yellow card
 
Usisau hata Gabriel Maghaleas alibidi apewe Kadi ht ya njano Kwa mguu uliompiga kipa "Dibu" japo itatafsirika hakudhamiria
Ile ni red card kuhatarisha afya ya mchezaji ni dangerous play na pia goal la pili Konsa kambeba Joao Pedro alafu akamdondosha chini refa kaacha ndio imesababisha goal la pili. Ligi ya Uingereza ni ligi nzuri ila ina matukio mengi ya ovyo
 
Huko online kuna watu wanatafuta vichaka na wengine wamekubali matokeo kwamba wao uwezo mdogo.

Sasa hivi hawasemi kuhusu Caicedo wala Colwill kutokuepo kwasababu washapokea kipigo na hizo punda zikiwa uwanjani. Sasa hivi wanadai kipa wao alichezewa rafu.

Ni kufumua tu hizi kima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…