Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata sisi Fulham walicheza jihad na wakala 3 takatifu na Fulham ina watu haswa huwezi kufananisha na Aston villa kucheza jihad ni jambo moja kuwa na watu wenye quality ya kucheza hivyo ni jambo lingine
In terms of quality ukaamua kufananisha quality ya timu iliyopo Champions League na ambayo haipo utakua umeamua kua miyeyusho.

Kama Villa akicheza hivi dhidi ya Chelsea, Chelsea mnakufa hata kama mtakua mmepumzika kwakua hampo michuano yoyote ya msingi.

Ila kwakua hua mnapenda kujifurahisha, endelea.
 
Mimi Sina ushabiki wa kijinga kwenye ukweli nasema sijawahi kusema Arteta mbaya labda mashabiki wa manyumbu Arteta ni bonge la kocha hii team yenu angekuwa kocha wenu ni Enzo Maresca mngekuwa mnatafuta nafasi ya kugombea ligi ndogo ya mabingwa( Europa league) hata angekuwa ni Guardiola msingechukua ligi.
Kwahiyo unahisi nyinyi shida yenu msimu uliopita ilikua ni Enzo?

Siyo tena defense?

Hua unanichanganya, stick na kimoja kwanza
 
Tarehe 6 mechi. Dhidi ya chelsea

Tarehe 9 mechi. Dhidi ya Napoli

Tarehe 12 mechi. Dhidi ya Sunderland

Tarehe 15 mechi. Dhidi ya Ipswich (Carabao)

Tarehe 19 mechi. Dhidi ya Brighton.
 
In terms of quality ukaamua kufananisha quality ya timu iliyopo Champions League na ambayo haipo utakua umeamua kua miyeyusho.

Kama Villa akicheza hivi dhidi ya Chelsea, Chelsea mnakufa hata kama mtakua mmepumzika kwakua hampo michuano yoyote ya msingi.

Ila kwakua hua mnapenda kujifurahisha, endelea.
Hapa umeongea kishabiki
 
Kwahiyo unahisi nyinyi shida yenu msimu uliopita ilikua ni Enzo?

Siyo tena defense?

Hua unanichanganya, stick na kimoja kwanza
Arteta Hana wachezaji wa kiwango kikubwa ila kaifanya team iwe competitive na ngumu kufungika ndio maana nimempa kongole Guardiola pamoja ya kwamba ni Kocha Bora lakini anafanikiwa kwa kuwa na wachezaji wa viwango vya juu
 
Ila wewe jamaa 😅

Hii timu ishakua na beki Maitland-Niles, Mari, Sokratis.

Ishakua na kiungo Guendouzi, ishakua na beki Soares, imeshacheza ikitegemea kiungo Ramsay ndiye afanye maajabu ya kufunga. Na siyo forwards.

Hii timu imeshakua na beki Luiz, imeshacheza ikimtegemea kipa Cech na Leno.

Hii timu imeshaingia uwanjani huku mpinzani akiwa amejiandaa kuchukua matokeo na anayachukua.

Hii timu imeshacheza huku inaanza kupata magoli mawili lakini mechi inaisha sare au tunafungwa.

Wewe huwezi kujua haya kwakua unaangalia livescore matokeo hauangalii mechi na unaangalia stats za mchezaji.

Mimi nisipoangalia mechi nasema ili mtu aelewe mtazamo wangu unapotokea, kama unaangalia takwimu na rekodi na unadai wachezaji wa Arsenal hawana viwango hakikisha na makocha wa timu za taifa wanapata huu ujumbe.

Saka kamuweka benchi Palmer, akamuweka benchi Madueke. This time around hata timu ya taifa hajaitwa, mnadai mna forward mzuri hata hiyo timu ya taifa hajagusa.

Unaongea sana broken mzee
 
Msimu uliopita chelsea anamaliza msimu kwa kufungwa magoli 52.

Hziyech22 anakuambia wana kiungo bora dunia nzima hua anasaidia kuzuia mashambulizi.

Mashambulizi gani anayazuia sasa? Kwahiyo angekua hayazuii wangefungwa zaidi ya 52?

Screenshot_20260901-112201.png

Hawa watu ni miyeyusho.

Screenshot_20260901-113338.png
 
Ila wewe jamaa 😅

Hii timu ishakua na beki Maitland-Niles, Mari, Sokratis.

Ishakua na kiungo Guendouzi, ishakua na beki Soares, imeshacheza ikitegemea kiungo Ramsay ndiye afanye maajabu ya kufunga. Na siyo forwards.

Hii timu imeshakua na beki Luiz, imeshacheza ikimtegemea kipa Cech na Leno.

Hii timu imeshaingia uwanjani huku mpinzani akiwa amejiandaa kuchukua matokeo na anayachukua.

Hii timu imeshacheza huku inaanza kupata magoli mawili lakini mechi inaisha sare au tunafungwa.

Wewe huwezi kujua haya kwakua unaangalia livescore matokeo hauangalii mechi na unaangalia stats za mchezaji.

Mimi nisipoangalia mechi nasema ili mtu aelewe mtazamo wangu unapotokea, kama unaangalia takwimu na rekodi na unadai wachezaji wa Arsenal hawana viwango hakikisha na makocha wa timu za taifa wanapata huu ujumbe.

Saka kamuweka benchi Palmer, akamuweka benchi Madueke. This time around hata timu ya taifa hajaitwa, mnadai mna forward mzuri hata hiyo timu ya taifa hajagusa.

Unaongea sana broken mzee
Huwezi kunielewa ukiwa umebeba bendera ya ushabiki, Arteta kaichukua team yenu ikiwa haina mbele wala nyuma mpo nje ya top 4 lakini akaisuka na mkampa muda wa ujenzi ndio kaifanya iwe hii Leo mnacheza kwa identity yake kaona mpira mzuri hauwezi kuwalipa kwa sababu hamna wachezaji wenye viwango vikubwa wa kuwapa Mataji ndio maana akaamua acheze soka haramu. Huwezi kucheza mpira wa mzuri na hapo hapo unataka matokeo ukawategemea Kai, Madueke,Martinell, Jesus, Zubimend,Ben White, Eze n.k ndio maana akaamua kuchagua njia haramu kushinda taji utapinga lakini hiyo haibadilishi nyie mna wachezaji wengi wa kawaida wachezaji wengi kwenu wakija Chelsea namba hawapati na ndio maana tunawauziaga magarasa.
 
Chelsea mmeona uzi wetu ndio sehemu ya kuja kujifurqhisha. Si ndio?

Nawaambia jpili sio mbaya. Chuma nne zipo pale pale
Ila we jamaa haupo serious yaani unamfunga Aston villa mbovu kwa mbinde halafu unajitapa utafunga Chelsea 🤣
 
Huwezi kunielewa ukiwa umebeba bendera ya ushabiki, Arteta kaichukua team yenu ikiwa haina mbele wala nyuma mpo nje ya top 4 lakini akaisuka na mkampa muda wa ujenzi ndio kaifanya iwe hii Leo mnacheza kwa identity yake kaona mpira mzuri hauwezi kuwalipa kwa sababu hamna wachezaji wenye viwango vikubwa wa kuwapa Mataji ndio maana akaamua acheze soka haramu. Huwezi kucheza mpira wa mzuri na hapo hapo unataka matokeo ukawategemea Kai, Madueke,Martinell, Jesus, Zubimend,Ben White, Eze n.k ndio maana akaamua kuchagua njia haramu kushinda taji utapinga lakini hiyo haibadilishi nyie mna wachezaji wengi wa kawaida wachezaji wengi kwenu wakija Chelsea namba hawapati na ndio maana tunawauziaga magarasa.
Hivi vichekesho vyako hua unavifikiria?

Mwisho wa msimu timu yenye mpira haramu ina magoli ya kufunga 71.

Timu yenye mpira mzuri ina magoli ya kufunga 58.

Mnachokasirika ni kushuhudia timu inageuka kua nzuri mbele ya macho yenu. Na siyo peke yako, mpo wengi sana. Na wote hua wanatulia wakiletewa takwimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom