Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

japo umepatikana ushindi ila mshambuliaji wa pembeni mwenye kasi anahitajika haraka sna.. timu imekosa speed.
Binafsi huwa nikisema Bukayo Saka,Kai Hatvetz ,Noni Madueke hapaswi kucheza Arsenal nabaki kushambuliwa!

Haiwezekani unamuuza mchezaji kama Gabriel Martinel unamuacha Madueke!

Tatizo la leo la Arsenal lilikuwa ni striking force tu baaasi!

Kuanzia kwa Mabeki hadi viungo tulikuwa sawa,Tatizo ni mawinga wa pembeni bado wanacheza kizamani sana,Kama hawa ndiyo tunategemea watuvushe kwenye Champions League msimuu huu,Basi tuandike maumivu!

Sijajua sababu ya Arteta kumuweka benchi Gyokeres ni zipi,Kuna muda hadi watangazaji walikuwa wanashangaa kwanini Kai Hatvetz anacheza wakati Gyokeres amekalia mbao ndefu!
 
Arteta anajisahau na anasahau paka utamaduni wa club, hii club imeundwa na ilipendwa kwa sababu ya mpira mzuri na magoli mengi, kukaa unalinda 1-0 dakika 90 haya mambo ni Atletico Madrid
 
Binafsi huwa nikisema Bukayo Saka,Kai Hatvetz ,Noni Madueke hapaswi kucheza Arsenal nabaki kushambuliwa!

Haiwezekani unamuuza mchezaji kama Gabriel Martinel unamuacha Madueke!

Tatizo la leo la Arsenal lilikuwa ni striking force tu baaasi!

Kuanzia kwa Mabeki hadi viungo tulikuwa sawa,Tatizo ni mawinga wa pembeni bado wanacheza kizamani sana,Kama hawa ndiyo tunategemea watuvushe kwenye Champions League msimuu huu,Basi tuandike maumivu!

Sijajua sababu ya Arteta kumuweka benchi Gyokeres ni zipi,Kuna muda hadi watangazaji walikuwa wanashangaa kwanini Kai Hatvetz anacheza wakati Gyokeres amekalia mbao ndefu!
Gyokeres ni Dumbia aliye changamka then hapo kwenye Saka unazingua mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom