Unajichosha, tunakushangaa una utimamu hlf unabishana na hawa watu!! Huyo Rogers aliwakataa unategemea wasemeje kuhusu yeye, waulize pia kuhusu Mudryk na vile aliona kuwakataa haitoshi akawatungua mgoli wa video, hawampendiiiTuletee takwimu za Pepe halafu fananisha na Neto unadharau zakijinga sana kijana huyo Madueke alikimbia namba kwa Neto
Madueke tu kaenda kumueka Saka benchi, sahivi ndio supa staa wao na wakati akiwa chelsea walikua wanamponda, unaona ni wazima hao.