au sioNilisema psg anakufa chuma mbili. Kwaio chuma ya pili ndio itakua ya ushindi
Viungo wa PSG wako bora kuliko wetu. Hii mechi ni ngumu sababu tumezidiwa eneo la kiungoNilisema psg anakufa chuma mbili. Kwaio chuma ya pili ndio itakua ya ushindi
Dembele na K...sheli ndio psg, wote wametokaViungo wa PSG wako bora kuliko wetu. Hii mechi ni ngumu sababu tumezidiwa eneo la kiungo
Game tumeshaikamataAt this point tunacheza na average team ya PSG.
Our players haven't realized it yet
PSG hawana kipa paleKipa wetu siyo mzuri kwenye penati. Hii show iishie huku huku