Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asipochukua jee, acha atambe sasa, tukibeba na uefa tutamba zaidi..
Unataka aache kula kwa mama ntilie kwa kutegemea ubwabwa wa shughulini.. akikuta umeisha je ama mbichi [emoji23][emoji1787]
Nimechekaa sanaa, na ninaona wazi kuna mushkeli katika kunyanyua kwapa la UEFA.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe mjuba wa kutoka wapi tena? [emoji81][emoji81]
Ukisema hivyo mtu kanikamatia sipendi, yaani mimi ni yule mwali kigego km Arsenal sijali watu wanasema nini nafocus tu!! [emoji81][emoji81]

Wewe sema uko wapi nitume mtu afate..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii time hata ikichukua epl huna cha kulingishia kwa timu kubwa kama man city ,man utd ,chelsea ,Liverpool, astonvilla .....sababu huna uefa, club world cup ,super cup ......very small team inayobweka tu πŸ˜„ 🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…