Arsenal (The Gunners) | Special Thread

One more to go. PSG.

Tuna defence nzuri zaidi yao.

Dembele kaumia.

Kipa wa PSG sio mzuri ndio maana hajaitwa timu ya taifa Ufaransa.

Tumechukua EPL mapema tutapata muda mwingi wa kujiandaa na game ya fainali.

Wachezaji wa Arsenal baada ya kushinda EPL iliyokuwa na pressure kubwa kwao, sasa wanaenda fainali ya CL wakiwa wanajiamini zaidi.

Hata kama PSG wana striking force nzuri, but equally Arsenal tuna defence nzuri pia.

Good defence win you titles.
 
Yes, Odegaard anatakiwa apate mbadala.
 
England itachukua world cup
 
Yes, Odegaard anatakiwa apate mbadala.
Kabisa, jamaa amekuwa mtu wa kutoa pasi za nyuma badala ya kupeleka timu mbele

Sio kiungo mbunifu

Angalia miaka ya nyuma, akina Emmanuel Adebayo, pamoja na ubutu wake kwenye umaliziaji, lakini kwa zile pasi za akina Cesc Fàbregas alikuwa hakosi magoli 17 ama 20

Saivi tuna timu nzuri, yaani tukipata namba 6 mzuri na 10, basi tunaenda kuchukua tena EPL mwakani

Si mmeona Pep ameshatupa taulo, hii ni nafasi ya kurudisha makali ya Arsenal yetu
 

Dembele atakuwa ready kwa final.... mtaliwa kiboga ... kvara, doue, dembele,! Kiungo neves, vitinha, Ruiz
efence win you titles.
 
Acha kutupigia kelele we Mwehu
 
Kuna mwaka Fulani almanusura arsenal FC itwae kombe ila ikapotezaaa..

Kuna AHADI yangu kubwa nitachinja mbuzii kwa ajili ya celebration 🎊 maana miaka 22 sio mchezooo..

Nime ikumbuka arsenal ya ule msimu ikiitwa invincible 11
Maana arsenal ya 2003/2004 ilikua na kina jens Lehman ,David benkamp, Antonio Reyes, ovamars, Henry, wiltod, kolo toure, Fred ljumbeg, Peres, Lauren, sol cambel .
(Invincible 11)
 
Pia amekuwa majeruhi muda mwingi sana, kitambaa cha unahodha apewe Rice.
 
Dembele atakuwa ready kwa final.... mtaliwa kiboga ... kvara, doue, dembele,! Kiungo neves, vitinha, Ruiz
PSG hawajawahi kutana na timu ngumu kama Arsenal kwenye UEFA.

Hata wao wanajua kazi wanayo, ndio maana wameshaanza mazoezi ya kukaba kona.

Tutawatibua hawatacheza mpira wao waliouzoea.

Nawasubiri wale.
 
It was arsenal against the world 🌎 and they won the battle. Hakuna namna nyingine yoyote.
Hyo Lofa anayetutukana hmu ndani....rasmi tumekukabidhi ww umtulize....MwAmbie kama ni Manunu atulie....mechi yetu ya mwisho tutawapa Manunu watuchezee maana hawana shuguli ya msingi ya kufanya....inshort ni wanazururazurura hmu kwny jukwaa letu🤠🤠....
 
Ni rasmi Pep anaondoka mwishoni mwa msimu.
We're going to dominate the premier League for the next 10 years.
Inaonekana wewe sio mtembeleaji wa majukwaa ya michezo, hii kauli sio salama kwa mustakabali wa timu yako msimu ujao. Waulize Liverkuku baada ya kutwaa kombe chini ya kichwa mviringo halafu wakaongezea akina ISAK, Kerkez, Ekitike, Frimpong, nk wameponea chupchup kushuka daraja msimu huu.

Anyway, Hongereni sana Gunners kwa kutwaa ubingwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…