macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,161
- 59,945
Arsenal kombe lao mwaka huu. Mechi ya leo sioni West Ham wakishinda japo ni ngumu sana. Yes, wanacheza kama fainali ili wasishuke daraja lakini Arsenal wakitulia watawapiga si chini ya goli 3. Hata wakitoa draw bado wana nafasi ya kushinda ligi kwa tofauti ya magoli kwa sababu mechi zake zilizobakia siyo ngumu sana. Burnley keshateremka na Gunners wanachezea nyumbani. Mechi ya mwisho na Palace, Palace watachezesha team B kwa sababu watakuwa wanajiandaa kwa fainali ya Europe siku mbili baadae. Hata kama atatoa draw leo, mechi nyingine akiweza kupata goals 3 na 4. City hawezi kumfikia kirahisi.Kwenye mechi zenu zilizobaki mie nawekeza pesa ili kuvuna mamilioni maana mko kwenye ile moment hamtakiwi kutoa droo au kufungwa.
Msiniangushe kenge maji nyie
Come On You Gunners,