makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Nimeona kwenye mtandao, kwanini haikuwa red card? Ama wanatala city abebe kombe nini?Bernardi kampiga mtu ngumi.
Refa katoa njano.
Huu si uongo?
Nimeona kwenye mtandao, kwanini haikuwa red card? Ama wanatala city abebe kombe nini?Bernardi kampiga mtu ngumi.
Refa katoa njano.
Huu si uongo?
Sisi sio intermilan 😂🤣Nasikia mmeumia sana baada ya Brentford kupoteza mchezo wao.
View attachment 3586210
Arsenal akishinda leo ana 90% ya ubingwa.Mathematically Burnley na Wolverhampton wameshaenda na maji .....Bado mmoja ambaye ni spurs ama West Ham... spurs ana point 37, West Ham 36.... wote wana chance ya kupigania hadi pumzi ya mwisho....
Kwa EPL walau ili uwe safe kwenye relegation zone upambane uokote walau point 40+.... wote hawa wawili wanapambania hilo ....
Sitoshangaa Leo mkaliwa ama mka_draw... mechi ni ngumu sana, majamaa yanataka kubaki EPL na nyie mnataka ubingwa baada ya miaka karibia 30 !
Lolote liwakute
Sure mkuu...mkishinda Leo mvikwe taji lenu ..... mechi ngumu naona ni Leo....Arsenal akishinda leo ana 90% ya ubingwa.
Kama Nyie mlivopiga dua Everton wamzuie cityUnaambiwa jana Pep muda anaondoka akasema Come On You Irons.
Kwahiyo City inapiga dua Westham watuzuie
Ni kweli ila kocha hakuongea hadharaniKama Nyie mlivopiga dua Everton wamzuie city
Kuongea hadharani sio sababuNi kweli ila kocha hakuongea hadharani
Maamuzi mengi yalikua hovyo. Hata hivyo Brentford kufungwa ni sawa coz alicheza na City kama Arsenal inavyocheza na City.Nimeona kwenye mtandao, kwanini haikuwa red card? Ama wanatala city abebe kombe nini?
Mazoezi ya championshipUnaambiwa leo Westham walikuwa wanafanya mazoezi ya kufa mtu haijawahi kutokea tangu epl kuanzishwa
Kimahesabu jana City asingeshinda Arsenal ilibidi kushinda leo na mechi ijayo tu.Sure mkuu...mkishinda Leo mvikwe taji lenu ..... mechi ngumu naona ni Leo....
Leo ni fainali kwa Arsenal. Kwa nini? Mechi nyingine anapiga na Burnley ambayo ni wachovu walioshuka daraja, tena nyumbani. Mechi ya mwisho anakipiga na Palace kwao. Itakuwa ni siku ya Jumapili, na Jumatano itakayofuata Palace atacheza fainali za Europe, hivyo sidhani kama ataizingatia sana hiyo ya Arsenal. Hivyo mechi ya leo ni kama fainali kwao.Arsenal akishinda leo ana 90% ya ubingwa.