Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,840
Kenge Bana😂Tuliwaambia nyinyi kenge ubingwa hauchukuliwi kwa set pieces kama mbinu kuu, hio ilitakiwa iwe mbinu ya mwisho kabisa yakumalizia ligi mkakaza fuvu.
Saivi watu wamegoma kipa kuzongwazongwa kufunga imekua mtihani.
Kwa open play game anazopiga Fulham kesho nae itakuwa masikitiko mengine na matusi kwa tapeli arteta kama kawaida yenu.
Makaveli anakuambia zamani atleast ilikuwa hatupati makombe ila mpira tunapiga pasi kibao lakini saivi ni wanakosa vyote .
Yeah upo sahihi ingawa binafsi naamini Heaven alikua sahihi kutoka Arsenal. Kuna dogo anaitwa Salmon naye ni beki huyu pia sitoshangaa akiondoka, yupo vizuri, utulivu na vision vyote anavyo.Sometimes ni changamoto sana kwa Mchezaji kuchagua future yake ..... kuanzia maslahi, game time n.k !!!!
Wapo ambao tunaona walijilipua na wakafanikiwa, wengine ndio hivo tena walienda kuzika future zao ....
Pia hizi club kubwa kubadili makocha kila muda kunachangia kuharibu future na development ya Mchezaji kwa ujumla !!!
Kingine kuna wachezaji wana ego, ama agents zao wanawapa viburi... Mchezaji anawaka kidogo ama anaonesha potential anaanza kuvimba ! Refer case ya Garnacho, alianza kuwaka kidogo....maneno kibao big ego, mara anataka UCL footbal, club ikamuuza ! Kesi za hivo ni nyingi sana !
Castr
Kesho El Cholo na vijana wake wa atletico itabidi watusamehe....tuna jambo letu na PSG🤠🤠Mmeanza mbwembwe zenu sasa
[emoji23][emoji23] Hivi wanetu mko serious kweli au ndio ile nguvu ya energy drink anayoizungumzia Castro Oil?Kesho El Cholo na vijana wake wa atletico itabidi watusamehe....tuna jambo letu na PSG[emoji1783][emoji1783]
Chelkenge mna makebo makubwa, full kugawa utamuKesho lazima ukazwe kwako
Haters kama wamelala vileEverton wanascore chuma cha 2 kubababake