Yaani mi naamini zubimendi ni mchezaji bora sana ila inabidi ajifunze ujasiri kwa Huyu dogo lewis skelly, asiigope Mali, aitake mali muda wote mguuni, zubi ametuangusha sana kwa kutunyima game control this season, hivi unawezaje kuwa controller kama unauogopa mpira? Muda wote yeye anataka kuachia tu, kifupi anakwepa responsibility ndio kitu kinamfanya anakuwa hovyo, partey alikuwa anakaa na Mali kupitiliza ila huyu anaiogopa Mali kupitiliza, you need balance kama Holding midfielder, Busquets alikuwa complete namba sita, anajua afanye nini wakati gani, Zubimendi anaweza kuwa busquet kama atatamani kuwa, uwezo Anao lakini mambo anayofanya paka kuna muda namkumbuka Partey.Skelly bado hajajua muda gani wa kuachia mpira.
Bado ana safari ndefu
Mzee wa kazi chafu we mpira Unaujua, risk averse ndio kitu kinamuua zubimendi na Arsenal kiujumla, City ameweza kutu catch up sio sababu tuna Timu mbovu, sababu kubwa ni kutoka nje ya utamaduni wetu wa kucheza mpira mwingi, kuogopa Ku take risk kitu ambacho kinafanya tunakuwa predictable na ndio maana wengi wanasema we play boring football and we rely on set pieces.sawa, ila mi binafsi napenda ujasiri alokuwa nao wa kutembea na mpira na kuamua kuvunja safu ya mpinzani mwenyew na kisha anaweka mpira kwenye nafasi, amekuwa akitake hiyo risk mara nyingi na inalipa.
Nakubaliana na weweYeah hili tatizo analo Sana, ila uwepo wake Leo umefanya mipira iende mbele haraka zaidi kuliko Zubi akiwepo.
Leo ni moja ya game tumecheza vizuri katika siku za karibuni. Hope atapewa games zaidi.
Ni msimu wake wa kwanza. Hata Partey msimu wa kwanza alijipa rating ya 5/10, hata alipokua on fire bado hata humu alipingwa hajui mpira.Yaani mi naamini zubimendi ni mchezaji bora sana ila inabidi ajifunze ujasiri kwa Huyu dogo lewis skelly, asiigope Mali, aitake mali muda wote mguuni, zubi ametuangusha sana kwa kutunyima game control this season, hivi unawezaje kuwa controller kama unauogopa mpira? Muda wote yeye anataka kuachia tu, kifupi anakwepa responsibility ndio kitu kinamfanya anakuwa hovyo, partey alikuwa anakaa na Mali kupitiliza ila huyu anaiogopa Mali kupitiliza, you need balance kama Holding midfielder, Busquets alikuwa complete namba sita, anajua afanye nini wakati gani, Zubimendi anaweza kuwa busquet kama atatamani kuwa, uwezo Anao lakini mambo anayofanya paka kuna muda namkumbuka Partey.
Hicho ni kawaida yake. Kwa hilo ni kweli amezidi mid yetu ya msimu huusawa, ila mi binafsi napenda ujasiri alokuwa nao wa kutembea na mpira na kuamua kuvunja safu ya mpinzani mwenyew na kisha anaweka mpira kwenye nafasi, amekuwa akitake hiyo risk mara nyingi na inalipa.
Yule partey ni mtu na nusu. Huyu zubi hafiki anga zileKumuacha Anko Tom, na kumchukua Zubi ulikuwa uamuzi wa hovyo sana kwenu.... pengine anko Tom mngempa mwaka mmoja tu ...angeofa something kwenye mid yenu.....controlling ya game na zile build up....
Zubi siwahi kumuelewa
Madueke kiazi
Jokeres dah... kichaa kabisa
Martinel ni level za Fulham huko
Trossad akiamka vizuri ndo utamuona mchezaji
Captain wetu sijui shida nn, anacheza kama veteran..... kesharidhika, maamuzi hovyo hapambani
Saka..akiwa fit walau anaofa kitu, changamoto ni kuwa hana fitness ya kutosha
Rice nae mkamiaji tu..
Anyway natamani muende final ,mkaliwe vizuri
Je mwalimu alimuacha zubi kisa game ya uefa ama kuna kitu kakiona?Skelly leo anazima kwenye kiungo na Rice pamoja na Eze, nimeipenda hii
Sasa hivi kila game arsenala anapaswa kushinda kwa 3+ ndio inaweza msaidia kunyakua ubingwa kama city nae atakaza la sivyo tusahauLeo hawa Fulham tuwapige 3+, itatuongezea munkari zaidi kwenda kumkanda Atletico bila huruma jumanne apo.
Bado ajifunze baadhi ya vitu,Zile faulo zake za hovyo ajidhibiti lakini kunwa zaidi ukiwa middle bila scanning ni shida sana, kila wakati ni mwemdo wa 360° ni wachezaji wachache sana ndio wanafanya hii kitu na lazima awe bora eneo hilo..hili suala la Skelly kucheza kwenye ile position alocheza leo ilikuwa ni wimbo wa mashabiki wengi wa Arsenal tangu siku nyingi lakini Arteta kuliona hilo imemchukua miezi wakati ni suala ambalo lilikuwa linaonekana wazi.
Mchezaji anauogopa mpira kama una moto vile.. we ni kiungo nenda kauombe mpira, scan, kaa na mali achia mali, isake tena.. poga pass inapobidi, dribble inapobidi.. sogeza timu juu, kuwa press resistant, kiungo lazima uwe muongo muongo kiungo gani unakuwa mgumu kama unakula maweYaani mi naamini zubimendi ni mchezaji bora sana ila inabidi ajifunze ujasiri kwa Huyu dogo lewis skelly, asiigope Mali, aitake mali muda wote mguuni, zubi ametuangusha sana kwa kutunyima game control this season, hivi unawezaje kuwa controller kama unauogopa mpira? Muda wote yeye anataka kuachia tu, kifupi anakwepa responsibility ndio kitu kinamfanya anakuwa hovyo, partey alikuwa anakaa na Mali kupitiliza ila huyu anaiogopa Mali kupitiliza, you need balance kama Holding midfielder, Busquets alikuwa complete namba sita, anajua afanye nini wakati gani, Zubimendi anaweza kuwa busquet kama atatamani kuwa, uwezo Anao lakini mambo anayofanya paka kuna muda namkumbuka Partey.
Arsenal ngumu sana.Huyu zubimendi kwangu hapana,
Gyokeres mfumo wa arsenal ni mgumu kwake.
Odergard kiazi, saka kiazi..
Arteta ajitathmini
Hakuna kizuri arsenal. Ni mwendo wa kukosoa tuArsenal ya games 18 za kwanza mlisema ni mbovu na hii pia mnasema mbovu. Kwenu kila Arsenal ni ya hovyo so wewe sema tu unachotaka
Sahihi .... kuna namna unaona kabisa pengo la Partey lipo .....! Pengine next season, Zubi anaweza kubadilika !!!Yule partey ni mtu na nusu. Huyu zubi hafiki anga zile
Rice ni mzuri ana ile damu ya upambanaji, ni bora kuwa na rice kuliko odergad ama zubi..
toka kutoka mwa partey rice hana mchango mkubwa sana kwenye mashambulizi kama msimu uliopita, kuna mwanangu alikuwa per game anampa rice shots,3,4 na hiyo siku ni akimuona partey kacheza na alikuwa anampiga muhindi mara nyingi mnoo
Zubimendi huu msimu wake wa kwanza. Mkumbuke Partey msimu wa kwanza alikuaje.Huyu zubimendi kwangu hapana,
Gyokeres mfumo wa arsenal ni mgumu kwake.
Odergard kiazi, saka kiazi..
Arteta ajitathmini