Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,839
Katika kipindi cha hiyo miaka 20 unayoolengea unadhani Kati ya hizo timu ni timu gani haijawahi shinda kombe loloteDogo.
Unaulizia furaha kwa washabiki gani? Man U ?
Liverpool??
Chelsea??
Embu niambie timu gani kwa miaka 20 katika hizo unaizid mafanikio?
Arsenal’s remaining league fixtures:
Newcastle (h)
Fulham (h)
West Ham (a)
Burnley (h)
Crystal Palace (a)
Manchester City’s remaining league fixtures:
Crystal Palace (h)*
Burnley (a)
Everton (a)
Brentford (h)
Bournemouth (a)
Aston Villa (h)
It will be won on goal difference
Naona umekimbilia kwenye chochote.Katika kipindi cha hiyo miaka 20 unayoolengea unadhani Kati ya hizo timu ni timu gani haijawahi shinda kombe lolote
Arsenal
Manchester city
Liverpool
Chelsea
Manchester United
Kwenye hiyo list naomba uondoe timu ambayo unadhani haijawahi shinda chochote katika kipindi cha miaka 20 iliyopita
Vs newcastleMe bado naiona nafasi aseno kutwaa taji View attachment 3576574
Ni sahihi, uless isiwe aseno hii ya shubiriVs newcastle
Vs atletical madrid
Vs fulham
Vs atletical
Vs westham
Vs Burnley
Vs crystal palace
HATOKI NG'OOOO
Hahaha 😂, mkuu Sina neno.Secretarybird njoo tujadili braza au upo bize na popobawa?
One of the best false hopes of the season, hii false hope yako inabidi upokee taji la mauaJamaa anajifanya ana pumzi ya kutosha, mimi naamini with maturity and the right mentality tunao uwezo wa kupiga zote 13, paka yeye mwenyewe hapohapo kwao, afu tunamuacha acheze mpira sisi tunampiga set pices za kumkeraaa, na carabao tunampiga goli la kona moja tu afu tunashikilia bomba, this Arsenal team is Diego simeone on steroid