Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal anaenda kubeba UCL na EPL
Hizi ni ndoto nyevu.
480w_s.jpg
 
Last time arsenal kushinda Etihad ni 2015 infacto tunakumbushana tu.
Don't you know that records are there to be broken?
Juzi tu uliona Leeds akiondoka na ushindi pale Old Trafford Jambo ambalo walikuwa hawajahi kulifanya kwa zaidi ya miaka 40

Newcastle yako yenyewe msimu Jana ilivunja record ya miaka zaidi ya 70 bila kombe kwa kushindi carabao

Najua akili zako za kayumba zinakwambia Arsenal haiwezi kuvunja record ya kutoshinda Etihad eti kwa sababu ni Arsenal

Labyrinth 84 next time before you type anything make sure you engage your brains effectively.
Don't just type for the sake of typing.
 
Toka Ile game ya forest mtoe draw mlikuja mkalalamika mpira mnaocheza , mpaka Leo sioni tofauti yoyote ya mpira mnaocheza kabisa style ni Ile Ile katika last 15 games zenu approach ni Ile Ile match pekee ambayo mlicheza mpira ni against spurs ambayo ni mbovu kupindukia .

Game nyingine mnashinda sio kwamba mmecheza vizuri Bali ni imetokea tu kama game na everton na nyingine nyingi tu midfielders wenu ni zero creative huyu zubimendi hamna kitu Kai ndio hama kitu kabisa.
100% nina uhakika hambebi kombe sababu hamtengenezi chances kabisa na hakuna kilichobadilika zaidi ya maneno ya arteta.
Your Newcastle is playing sexy football every week bt it's trailing at number 15 in the premier League...What an irony 😅!!!
 
Back
Top Bottom