Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nusu Fainali...Haters vipi huko?
Naona wewe ni fans mwenye roho ngumu, nenda kwenye page ya arsenal kaangalie comment za fans wenzako .

Wenzako wanalalamika wamecheza boring game home na kutengeneza chance kwenye open play wameshindwa watawezaje ugenini Etihad.
There is no arsenal haters mzee kwanini tuwachukie wakati mnatupa burudani Kila ifikapo April
 
Hiyo mipira mizuri tumecheza sana, pasi nyingi mwisho wa siku hatubebi chochote.

Kwa hatua timu ilipofika lazima tusemwe tu, Jana United kafungwa na Leeds hakuna anayejali, ila Arsenal kelele za kutosha.

Tukutane Etihad weekend.
 
Arsenal mtaenda fainali, Kwa jinsi ninavyoona...Arsenal kwenye defence mko vizuri.
Arsenal Haina defence nzuri ni vile tu ikikutana na team ambayo haishambulii ndio inaonekana ina defence nzuri ila ikikutana na watu wasiopoa kama Bournemouth na city j2 hata hio atletico utaniambia.
Kama wachezaji kocha mpaka mashabiki hawatachanganyikiwa
 
Hiyo mipira mizuri tumecheza sana, pasi nyingi mwisho wa siku hatubebi chochote.

Kwa hatua timu ilipofika lazima tusemwe tu, Jana United kafungwa na Leeds hakuna anayejali, ila Arsenal kelele za kutosha.

Tukutane Etihad weekend.
Kwahiyo mtabeba kwa pira hili la zero open chance created?
Achana na mpira mzuri hata Ile basic football hamna kabisa.
Mnacheza kama ligi ya bongo mtu anapiga pasi ilimradi ni pasi.

Lini umemuona united, Chelsea, Liverpool anaongoza points 9 Bado mechi 7 then akakosa ubingwa.

Man utd ,Chelsea , man city, Liverpool wakisema team yao Bora na makombe pia unayaona , tofauti na nyinyi.
Man city saivi wao wanaona team yao sio Bora hata wewe mwenyewe unaona city haupo kwenye ubora wake lakini pamoja na hayo Bado itaondoka na 3 trophies (EPL, FA, carabao)
 
Mpira umeisha.
Wachezaji wa Madrid wanamzonga refa na kumnyooshea vidole imebidi officials wasindikizwe nje ya uwanja.
Guler akawa anazidi kuwazonga, akala red.

Mechi imeisha na kala red
Kuna mtu aliwahi kusema if you want to beat Real Madrid you don't need good players, bt you just need a FAIR referee and that's all😅
 
Kwahiyo mtabeba kwa pira hili la zero open chance created?
Achana na mpira mzuri hata Ile basic football hamna kabisa.
Mnacheza kama ligi ya bongo mtu anapiga pasi ilimradi ni pasi.

Lini umemuona united, Chelsea, Liverpool anaongoza points 9 Bado mechi 7 then akakosa ubingwa.

Man utd ,Chelsea , man city, Liverpool wakisema team yao Bora na makombe pia unayaona , tofauti na nyinyi.
Man city saivi wao wanaona team yao sio Bora hata wewe mwenyewe unaona city haupo kwenye ubora wake lakini pamoja na hayo Bado itaondoka na 3 trophies (EPL, FA, carabao)
We kenge hizi comments zako zinadhihirisha wazi kbsa kwamba hujui chochote kuhusu mpira na pia inaonekana umeanza kufuatilia Mpira juzi tu.

Kwa taarifa yako tu msimu 2011/2012 Manchester United walikuwa wanaongoza ligi kwa alama 8 juu ya Manchester city baada ya mechi 32.
Wakija kupoteza kwa Wigan Athletic na Manchester City na Sare nyingine juu, wakawa wamedondosha alama zote 8 ndani ya mechi sita zilizobaki kabla ya ligi kuisha.

Manchester city akatwaa ubingwa kwa wingi wa magoli.

Utoshe kusema kwamba wewe hujui lolote kuhusu mpira ni bora ukae tu kimya kuliko kuja humu kujaza servers za Melo kwa hizi pumba zako.
 
Arsenal Haina defence nzuri ni vile tu ikikutana na team ambayo haishambulii ndio inaonekana ina defence nzuri ila ikikutana na watu wasiopoa kama Bournemouth na city j2 hata hio atletico utaniambia.
Kama wachezaji kocha mpaka mashabiki hawatachanganyikiwa
Huu msimu Arsenal imecheza mechi Zaidi ya 45 na Manchester United pekee ndo iliyofanikiwa kuifunga mabao 3, galaxy unakenua lidomo bila aibu unasema hatuna defence nzuri.

Kwenye UCL tumecheza na Bayern, Atletico Madrid, Inter Milan na Sporting CP na hakuna timu iliyofanikiwa kutufunga magoli matatu.

Uwe unafanya analysis ya kutosha kabla hujaandika chochote humu.Acha kukurupuka.
 
Naona wewe ni fans mwenye roho ngumu, nenda kwenye page ya arsenal kaangalie comment za fans wenzako .

Wenzako wanalalamika wamecheza boring game home na kutengeneza chance kwenye open play wameshindwa watawezaje ugenini Etihad.
There is no arsenal haters mzee kwanini tuwachukie wakati mnatupa burudani Kila ifikapo April
Umeona hapa hapatoshi ukakimbia mpaka kwenye page za Arsenal kusoma comments.

Indeed Arsenal is living rent free in your numb skull and there's nothing you can do about it 🤣🤣
 
Leo mkijichanganya mkavaa bikini wahuni wataisogeza pembeni na kusokomeza mzigo. !!!!

Msisahau Leo Hojlmund yupo , last game alikuwa na suspension kama sijakosea
Oyaa,hebu tupe statistics za huyo Hojlmund wako tuone😅
 
Huu msimu Arsenal imecheza mechi Zaidi ya 45 na Manchester United pekee ndo iliyofanikiwa kuifunga mabao 3, galaxy unakenua lidomo bila aibu unasema hatuna defence nzuri.

Kwenye UCL tumecheza na Bayern, Atletico Madrid, Inter Milan na Sporting CP na hakuna timu iliyofanikiwa kutufunga magoli matatu.

Uwe unafanya analysis ya kutosha kabla hujaandika chochote humu.Acha kukurupuka.
Ongeza hapo arsenal ndio club pekee ambayo haija poteza kwenye uefa champions league.

  • bayern Munich
  • atletico Madrid
  • sporting cp
  • inter milan

Hawa mburula wana taka wanaume tufanye jambo zuri lipi zaidi ya kufuzu?
 
Nyie wapuuzi ! Nimefurahi sana mnakutana na mhuni mmoja Mr Simeone.... soka vita yani !!! Mmngekutana na Barca ingekuwa rahisi kwenu kupita ..... barca ana matatizo matatu kwa sasa;
1.... kumkosa raphinha kwenye hatua kama hizi ni big lose kwao... jamaa ndio mwokoz wao, refer last season ..... frankie hayuko poa majeruhi..... balde wa msimu huu sio yule plus majeruhi....

2.. barca ni timu imejaa vitoto, hawana ule ukomavu wa kuipambania badge....

3...Barca hawana beki.... kule nyuma pako wazi sana ....
Sasa mngekutana nao ingukuwa ni sherehe kwenu... japo pia forward yenu butu hakuna kitu kabisa
 
Back
Top Bottom