kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,743
- 17,501
Sasa mnakutana na mhuni awafundishe soka ....
Hao tu sporting wamewatoa jasho.... mmepita tu kwa bahati, hata soka lenu halieleweki ....
Haya tuseme mmefika final... mkutane na PSG ya kina Neves, vitinha, nuno, hakimi nk ama mkutane na kina kimmich, kane, Olise ? Lazima mlombwe matundu yote
Nyie ni fungu la kukosa ......mkizubaa pia eipielo Pep atapita nayo ...hamtaamini