Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Subirini leo muone timu la pira birian linavyo mnyoosha leo Fulham
 
Alikua anasubiri ulete energy drinks nasikia wewe ndo umesababisha umeingia mitini na energy drinks 😀
 
Nitajie match 5 ambayo arsenal alicheza vizurrii.
Nyinyi ni mnategemea set pieces ila mpira hamna kabisa zaidi ya possession ya back passes.
Midfielders yupo zubimendi ,rice na Kai ni yupi anaweza aka dribble na kumpita hata mchezaji mmoja pinzani then akatengeneza nafasi?
Last games 10 za arsenal zinatofauti gan na game ya leo?

Team kuanzia dakika ya kwanza ina defence unajiuliza hivi arsenal fans mna akili kweli nyinyi mkijiita mabingwa.
 
Arteta yupo busy kuwashikisha wachezaji pens na leo kawafungia ma tv makubwa uwanjani.

Kocha hajui hata tatizo la team yake ni Nini? Ma tv na pen zitasaidia vipi zubimendi kupiga japo pass 5 za mbele au kudribble ampite mtu hata mmoja .
Tatizo la arsenal ni midfielders na kocha mwenyewe ,middo zote wavunja kuni mnategemea kubeba EPL
NARUDIA ARSENAL HABEBI KOMBE LOLOTE MSIMU HUU.
 
Hizo ni figisu tu za board ya Arsenal zikiongozwa na Arteta mwenyewe.

Wacheza hawataki kupoteza nguvu kwa mechi zizizo na umuhimu,wameamua kurudi kambini kujiandaa kuchukua ubingwa.
Wachezaji wameamua kurudi kambini kujiandaa kuchukua ubingwa😀😀😀 .
Nyinyi Huwa mpo katika sayari ya kufikirika.
 
Scholes na wenzake huwa wanasumbiliwa tu na wivu, usidhani Wana lolote la maana ambalo linaweza Fanya watu wawasikilize.

Anasema Arsenal itakuwa the worst team kushinda EPL wakati Manchester United iliwahi shinda league kwa point 75 pekee
Ikibeba ni kwa sababu ya longballs, setpieaces, kukumbatia timu pinzani wakati wanapiga kona yao ili wasiruke na kufunga, wanapaki mabasi na makontena. Arsenal midfield yenu mbovu sana Declan rice hawezi kupiga pasi na Submendi naye kiunmgo hovyo na nndio maana Arsenal hawawezi kucheza open play. Kusababisha set pieaces tu ili wabahatishe kufunga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…