Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Au sio, pindisheni tu maneno ila NDOO tunabeba safari hii

Uefa huko ni 50/50

FA lolote linaweza kutokea
Nasema hivii nyie mkitoka hata na kikombe cha kahawa niitwe jibwa koko.

Bodo kimahesabu mna asilimia 95% yakutoka bila kombe lolote msimu huu. Uefa0%, FA3% , EPL2%

#Ishi nayo
 
Bado tutarudi hapo hapo Wembley kwenye fainali ya FA dhidi ya hao City and we shall proof them wrong.

We will be there.
 
Kwa miaka mitatu sasa sijapewa jibu la swali langu.
Je usajili wa Declan Rice ni asset au Liability Je ???
Ni Asset, yeye na wenzake wameiwezesha Arsenal kushika nafasi 2 Epl mara 2 mtawalia na mwaka huu Wanapoenda kuchukua Ubingwa Epl na kucheza fainali UEFA ndo utakuwa uthibitisho kamili kwamba Hela Yao Arsenal imerudi...
Sasa, swali Hilo Hilo, jiulize,sisi Liverpool Kwa Florian "Virtz" na Alexander Isak pesa yetu itarud kweli??? Na tusipocheza UEFA msimu ujao ndo kabisa....
So tuache mihemko Kwa Arsenal kisa Kukosa Carabao, kumbuka Januari hii Guadiola alifanya tena usajili, pesa kwake sio tatizo Kwa waarabu.. ni vile tu na yeye Majeruhi kadhaa na Mbinu zake za soka zishaanza kufeli, watu walishakaa maabara.
 
Hili Wimbi la majeruhi kwenye mechi za kirafiki mnaekti ili mrudi klabuni kupambania mechi za mwisho mwisho?

Siamini, kuna michezo michafu inafanyika kuwalinda nyie mbweha
 
Kwa hiyo kushika nafasi ya pili nayo nimafanikio???
 
Hili Wimbi la majeruhi kwenye mechi za kirafiki mnaekti ili mrudi klabuni kupambania mechi za mwisho mwisho?

Siamini, kuna michezo michafu inafanyika kuwalinda nyie mbweha
Hizo ni figisu tu za board ya Arsenal zikiongozwa na Arteta mwenyewe.

Wacheza hawataki kupoteza nguvu kwa mechi zizizo na umuhimu,wameamua kurudi kambini kujiandaa kuchukua ubingwa.
 
Tangu Saka acute hiki chombo siku hizi amekuwa uchoro Sana uwanjani.
Sijui amepagawishwa kwa mauno ama vipi bt honestly jamaa viwango vyake vimepungua uwanjani.

He's not the Saka we used to know in the last 3 seasons
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…