Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,909
- 122,804
Usisahau nyeto boss 😂Dah, ngoja tu ninywe pombe usiku huu nipunguze hasira, natumai kesho nitakuwa sawa.
Usisahau nyeto boss 😂Dah, ngoja tu ninywe pombe usiku huu nipunguze hasira, natumai kesho nitakuwa sawa.
Friends of City bado tupo kuhakikisha marehemu amefika kuzimu 😂Friends of city Tupo hapa
Aseno ni sikio la kufaHuyu hadi hilo fungu la kukosa kalikosa pia 😂
Mmeanza😂😂😂Kwanza hili carabao cup halikua kwenye plan zetu.
Hahaha 😂. Mkuu bara hata ningekuwa shabiki wa chelkenge tu.
Well said, nyeto ndo tiba pekee kaka.Usisahau nyeto boss 😂
Chelkenge hatuna baya, cha msingi hatushuki daraja tuu 😂Hahaha 😂. Mkuu bara hata ningekuwa shabiki wa chelkenge tu.
Aisee kweli kabisa yaani.Chelkenge hatuna baya, cha msingi hatushuki daraja tuu 😂
Kaka usiku huu, kelele za nini?Intelligent businessman jana chelkenge tulipigwa 3 bila, Njoo kwenye uzi wetu utucheke 😂
Kila mmekazwa Ndo kelele 😂Kaka usiku huu, kelele za nini?
ChelkengeWatu wote wenye akili timamu na mapenzi mema na mpira wa miguu tumefurahi sana 😂