Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna tetesi za Alvarez, Gordon na Sandro tonali, sa sijui itakuaje kwa odegaard km Alvarez atatua Emirates, naona Timber na Alvatez ni wachezaji wanaofanana sana Mentality na kocha Arteta, so ni wazi alvarez ni chaguo la kocha. Na kwa hii Arsenal tunahitaji mentality monster ili kuendeleza ubabe next season, Arsenal kwa sasa naiona kama Atletico madrid sio tena sexy football we used to play, its all about titles first
 
Slot kaenda kwa Brighton kacheza ule mpira wa entertainment na kushambulia kafumuliwa kakaa kushoto.

Rosenior kaenda kwa Everton na akili yake ya kushambulia kapasuka.

Arsenal kazifunga hizo timu kuna watu wakawa wanalalamika.

Muacheni Arteta
 
Kuna makocha hawana akili ya mpira kumzidi Arteta ila mashabiki hawaoni hilo. Kocha wa Brighton alilalamika sana kwamba kapigwa haram ball ya maana baada ya siku kadhaa akaomba msamaha kwa Arteta.

Sasa watu hawajui kwamba Arsenal tunatafuta kombe, Brighton anatafuta kubaki ligi kuu. Liverpool anatafuta kuingia top four. Haya ni malengo matatu tofauti kwa kila timu ni ngumu ninayetaka ubingwa nikaenda kujiexpose kwa timu inayopambania kubaki ligi kuu.

Hawa watapigwa kivyovyote
 
Basing on this rivalry, I can now confirm that this isn't just title race bt it's Arsenal Vs the World🤔
20260322_093834.jpg
 
ukisikia Alexandr hleb, Tom Rosicky, Santi Carzola utaelewa nazungumzia nini, kuna kijana anaitwa modric pia, alikuja Spurs akiwa mshamba tu ila baadae balaa likawa kubwa. hleb one of my favourite players kuvaa jezi ya Arsenal
 
ukisikia Alexandr hleb, Tom Rosicky, Santi Carzola utaelewa nazungumzia nini, kuna kijana anaitwa modric pia, alikuja Spurs akiwa mshamba tu ila baadae balaa likawa kubwa. hleb one of my favourite players kuvaa jezi ya Arsenal
Robert Pires ndie alinifanya niipende Arsenal, kisha baadae Alexander Hleb.
He was pure talent kabla hajatimkia Barcelona.
 
Back
Top Bottom