Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,274
- 101,743
Nimependa aliyekula red ni SilvaMancity ashakula chuma 1 na redcard huko.
Acha mechi ziishe mkuu tutawafuata huko huko walikojifichaMbaga Jr ni plastic fan, hawezi kuonekana timu ikifungwa😂
Kwa Rice ni la kwanza msimu huu. Msimu jana aliwatungua MadridHilo ni goli la kwanza la Rice kwa UEFA na ni goli la kwanza la Eze UEFA