Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,953
- 95,334
Kandanda safi afu unagawa kalio hovyo š¤£Hamieni sasa TNT Sports 2, discovery+ jijini Paris mfuatilie kandanda safi, modern football
PSG vs Chelsea saa tano kamili usiku huu
Kandanda safi afu unagawa kalio hovyo š¤£Hamieni sasa TNT Sports 2, discovery+ jijini Paris mfuatilie kandanda safi, modern football
PSG vs Chelsea saa tano kamili usiku huu
Kuna tetesi arsenal ame/atawasilisha 100m kumtaka krava ikiwa tutabeba ubingwa mkubwa.World Champions my footšView attachment 3556773
TumetazamaSio mbaya, uefa wameona msidhalilike.
Anyway, msitoke kwenye tv zenu mana ule wakati wa wanaume kucheza umekaribia.
Karibuni mtazame mchezo wa bingwa wa dunia dhidi ya kibonde wak
Modern football, kandanda safi.Hamieni sasa TNT Sports 2, discovery+ jijini Paris mfuatilie kandanda safi, modern football
PSG vs Chelsea saa tano kamili usiku huu
Unaonaje maendeleo ya timu yakoViazi mbatata... mtatomb*****a hapo Emirates
Mm sio chelkenge brother.... jana wameliwa na watoto wa ParisUnaonaje maendeleo ya timu yako
Zile goli tano zimefanya ujisikieje
Kabisa mkuuNawatazama Leverkusen, inatakiwa Jumanne tuingie na plans A,B na C
Madueke hakutakiwa kurudi kipindi cha piliToa Eze ingiza Gyokeres
Toa Madueke ingiza Martinelli