999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 914
- 1,691
Goli la Dowman alivyokuwa ana dribble, nilikuwa nalukaluka kwenye kiti, Hadi nikavunja kiti Cha watu 😁
😁😁😁 i missed it, niliondoka na presha ya kona nikijua watachomoaGoli la Dowman alivyokuwa ana dribble, nilikuwa nalukaluka kwenye kiti, Hadi nikavunja kiti Cha watu 😁
😁 Unaangalia mechi moyo unakwenda mbio utadhani we ndo mchezaji unacheza. Hii ligi iishe tu😁😁😁 i missed it, niliondoka na presha ya kona nikijua watachomoa
mwanetu mgiriki katuwakilisha vizuri....kudos mavropranos9! fvckin points at the top
Walivyopata goli nikalala.Dua zenu mancity dk ya 92, 1-1 huko.
Sana aseee hii arsenal inatupa raha sanaWeekend imekaa vizuri sana
100%Kwahiyo mnachukua ubingwa mwaka huu??
Hapo game ngumu ni huyo burnley. Technically tutakua tayari champions [emoji471][emoji599] 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋:Arsenal only need 5 wins to be the 2025/26 premier league champions