Hivi kwa jana kuna timu ya EPL iliyoshinda?Mmeshapewa set pieces. Ina maana Arsenal haiwezi shinda bila set pieces
Leverkusen 1 - 1 Arsenal 90+3mins
Chelsea tuna jukumu hilo usiku huu, hatutowaangusha.Hivi kwa jana kuna timu ya EPL iliyoshinda?
Nilikuambia mbege juniorBaada ya goli kurudi na nyie ndo mmefufuka 😂
MshabanduliwaChelsea tuna jukumu hilo usiku huu, hatutowaangusha.
Naona hujapenda kabisa😅😅Naona uefa wanashirikiana na EPL kuhakikisha Arsenyembo anapata chcht kitu msimu huu 😂
Nitarudi hapa baada ya mechiHamieni sasa TNT Sports 2, discovery+ jijini Paris mfuatilie kandanda safi, modern football
PSG vs Chelsea saa tano kamili usiku huu
Acha wapigwe tu mkuuWanachofanywa man city
Nitakuja kwenye Uzi wenu kusoma insha zako kuhusiana na kipigo kitakatifu kutoka kwa PSG😂Hamieni sasa TNT Sports 2, discovery+ jijini Paris mfuatilie kandanda safi, modern football
PSG vs Chelsea saa tano kamili usiku huu
Friends of krava tuko hapa, kyande weweFriends of 04 tuko hapa
Kandanda safi afu unagawa kalio hovyo 🤣Hamieni sasa TNT Sports 2, discovery+ jijini Paris mfuatilie kandanda safi, modern football
PSG vs Chelsea saa tano kamili usiku huu
Kuna tetesi arsenal ame/atawasilisha 100m kumtaka krava ikiwa tutabeba ubingwa mkubwa.World Champions my foot😏View attachment 3556773
TumetazamaSio mbaya, uefa wameona msidhalilike.
Anyway, msitoke kwenye tv zenu mana ule wakati wa wanaume kucheza umekaribia.
Karibuni mtazame mchezo wa bingwa wa dunia dhidi ya kibonde wak