Karma 😂Tayari kuna CB ana yellow tangu dakika ya 4 kwanini haongezewi pressure?
Mna ngoma yenu inaanza soon. Tulia hapa hapaNaona uefa wanashirikiana na EPL kuhakikisha Arsenyembo anapata chcht kitu msimu huu 😂
Baada ya goli kurudi na nyie ndo mmefufuka 😂Mna ngoma yenu inaanza soon. Tulia hapa hapa
Hivi unaweza itaja Arsenal na ukaiweka sentence moja na 'kawaida kufungwa'?Kama kawaida yenu mshakalia.
MBege junior subiriBaada ya goli kurudi na nyie ndo mmefufuka 😂
Mmeshapewa set pieces. Ina maana Arsenal haiwezi shinda bila set piecesLeo, Arsenal hawakupata set pieces? Au bado wanazisaka tu?
Leverkusen 1 – 0 Arsenal.
Subir mpigwe cha pili, ili mpotee tenaMBege junior subiri