Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
Jamaa kawaka sana, tatizo calafior majeruhi sana aseeeeHatimaye Hincapie anasajiliwa usajili wa kudumu
Jamaa kawaka sana, tatizo calafior majeruhi sana aseeeeHatimaye Hincapie anasajiliwa usajili wa kudumu
Hata hivyo kwenye kushambulia bado hajawa poa sana. Ila ni mpambanajiJamaa kawaka sana, tatizo calafior majeruhi sana aseeee
Milio kila konaWiki hizi mbili tatu, wamekuja na hii, kwamba Arsenal inatumia muda mwingi kuanzisha tena ball.
Tukija kwenye data sasa
View attachment 3553951View attachment 3553952View attachment 3553953
Huyu jamaa ni mtu sana, anajua kupiga kazi chafuHatimaye Hincapie anasajiliwa usajili wa kudumu
Safi man city amalizane na mtabe mwenzie.FA cup quarter final draw
Southampton Vs Arsenal
Chelsea Vs Port Vale
Manchester city Vs Liverpool
Leeds Vs Westham/ Brentford
Liverpool mara hii atajitahidi hatakuwa mnyongeSafi man city amalizane na mtabe mwenzie.
Chuma haswaaa!!!Hatimaye Hincapie anasajiliwa usajili wa kudumu
Tumempiga Madrid, Inter, Bayern, PSG, Atletico anatokea mtu anakuambia hii timu haichezi mpira.
Lia ukimaliza sema
Alafu na wewe ukutane Kwa mara5 Tena na Chelsea Nusu fainali ndani msimu mmoja, Wembley hapo, hakuna Cha Emirate Wala Darajani, Neutral Ground, na kwenye UEFA vilevile Chelsea akikaza na nyinyi pia, mnaweza mkakutana fainali, hivyo hivyo Kwa Man city na Liverpool mnaweza kutana nao Fainali UEFA au FA cup fainali.Safi man city amalizane na mtabe mwenzie.
Hao Chelkenge Mbaga Jr washageuka wagawa utamu, hao city ni Mourinho wazee wa bus piga kelele tusikie kingineAlafu na wewe ukutane Kwa mara5 Tena na Chelsea Nusu fainali ndani msimu mmoja, Wembley hapo, hakuna Cha Emirate Wala Darajani, Neutral Ground, na kwenye UEFA vilevile Chelsea akikaza na nyinyi pia, mnaweza mkakutana fainali, hivyo hivyo Kwa Man city na Liverpool mnaweza kutana nao Fainali UEFA au FA cup fainali.
Umeona ile post ya leverkusen, arteta akiwa ameshika balbu? 😂Leo hapo dhidi ya Bayer Leverkusen.
Leverkusen wameanza kupost banter online kabla ya mechi at least inabidi sasa tukomae kuangalia jinsi gani tunaweza kusmash hii timu
Nimeona aiseeUmeona ile post ya leverkusen, arteta akiwa ameshika balbu? 😂