Takwimu zinawaumbuaArsenal inakuwa timu ya kwanza kutoka epl, kufikisha magoli 100 kwenye mashindano yote.
still tuna haters wanasema corners fc
Yupo humu anasoma comments kimya kimya.Hivi huyu jamaa wa Newcastle yupo?
Au kanyong'onyea?
Jamaa kawaka sana, tatizo calafior majeruhi sana aseeeeHatimaye Hincapie anasajiliwa usajili wa kudumu
Hata hivyo kwenye kushambulia bado hajawa poa sana. Ila ni mpambanajiJamaa kawaka sana, tatizo calafior majeruhi sana aseeee
Milio kila konaWiki hizi mbili tatu, wamekuja na hii, kwamba Arsenal inatumia muda mwingi kuanzisha tena ball.
Tukija kwenye data sasa
View attachment 3553951View attachment 3553952View attachment 3553953
Huyu jamaa ni mtu sana, anajua kupiga kazi chafuHatimaye Hincapie anasajiliwa usajili wa kudumu