Nashauri tukutoe kafara, ili tuchukue ubingwaKIkubwa ni point 3 muhimu sisi waleee, kila gemu sasa n fainali.
Ubingwa tunao unataka tuchukue mara ngapi? Ilikuwaje ukawa the gunners ewe kenge mpiraNashauri tukutoe kafara, ili tuchukue ubingwa
Acha ujuaji, we elekea kibra shughuli iishe.Ubingwa tunao unataka tuchukue mara ngapi? Ilikuwaje ukawa the gunners ewe kenge mpira
Jitoe weweAcha ujuaji, we elekea kibra shughuli iishe.
Shida haji una mdomo ka kopo la toiletJitoe wewe
Mimi sio hajiShida haji una mdomo ka kopo la toilet
Halafu ukiicheka hii kutokea upande wa nyuma wa goli ndiyo utaona jinsi jamaa alikua mbali ila alivyoona hakieleweki akasogea katikati.Murillo is invited to our title parade
View attachment 3553095
Clean sheet ya 14
Una maumivu makali sana.
Hii mechi City wakijaribu sana ni draw.Westham vs City mechi ngumu kwa City maana Westham anataka kujinasua toka danger zone na leo kashinda na amaelingana na Notingham Forest
Tutashinda zote mkuu,ukumbuke hapo tutakuwa tumekaribia ubingwa na vijana watapambana kwa jasho na damu kushinda hizo mechiKinachonishangaza tu mechi za kumalizia za Arsenal ni London derby mbili.
Sijui walipanga bahati mbaya au kusudi.
Hili kombe tukibeba hadi FA wataumia sana.
Ndugu yangu uwe unaangalia mechi. Mimi games zenu nacomment huku naangalia mechi sisubiri highlights