Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyembo n baiskeli ya barafu jangwani
Ni baiskeli ya matope kwenye mvua ya masika. Hawa jamaa ni zaidi ya wanawake machangudoa wanaowakatia viuno waume za watu lakini wakirudi kwa waume zao halisi wanakuwa wamechoka vibaya sana na kushindwa kuperform🤣😂🤣
 
Ee Mungu Baba naiombea timu hii msimu huu isichukue kombe lolote timu ambayo haina malengo timu ambayo kila mwaka vilio, na ukiangalia utagundua Mwenyezi Mungu ameijalia hii timu inapata nafasi ya kuchukua kombe rakini nafasi inaichezea

Mungu baba hata mwaka jana nihawa hawa ambao uliwapa nafasi wakaichezea sasa inatosha

Hachukui kombe sio la ligi tu yaani lolote
 
Kuna kiazi kitakuja huko kinakuambia wapo wanampa mwizi energy drink , ili azinduke waendelee ku
piga, kwa sasa hutakiona humu jukwaani !

Ukikiuliza ni games ngapi mmecheza hovyo na mmeshinda tu kimazabe, mara set pc, sijui kona za kumgassi kolikipa ndo mnaotea...... Hakina majibu ama hakitokei tena ...
 
Mechi ya mzunguko wa kwanza, Wolves walifunga magoli 3 lakini arsenal ndiye alishinda mechi 2-1
 
toobiter hamis77 Will Jr niliwaambia tuweke akiba ya maneno kuwa kwenye competition ukichezea chance hazijirudii mara mbili. Imepita miaka mitatu sasa na yale yale.

Tatizo ni Arteta ni failure hawezi kuleta mafanikio yoyote yale maana tunacheza bila creativity pasi kibao na formula ni ile ile bila kuwa ruthless.
 
Tatizo ni mentality, wala hakuna kingine...unaongoza magoli mawili na ghafla kwa makosa ya kijinga unashindwa kulinda magoli, it's mentality, we can't handle pressure hasa kuelekea mwisho wa msimu.
 
Tatizo ni mentality, wala hakuna kingine...unaongoza magoli mawili na ghafla kwa makosa ya kijinga unashindwa kulinda magoli, it's mentality, we can't handle pressure hasa kuelekea mwisho wa msimu.
Kocha ndio anawaambia wakabe wasitoke sana!! Dakika kama 20 hivi tulikua tunapoteza muda bila sababu badala ya kutafuta goli la 3!!

Kocha bado ni underdog tulipaswa tuwe na kocha ruthless mwenye mentality kama ya Conte/simeone ila tactical kama Luis Enrique/Fabregas.
 
Ikitokea bahati mbaya mmechukua ubingwa msimu huu, basi ni bahati au form mbaya ya city ila sio kwa uwezo wa mwalimu.
Sahihi mkuu naunga mkono hoja.. wakati mwingine unaona kama ni chuki za wapinzani, ila ukweli ni kwamba arsenal tunachangamoto game za pressure zinatushinda, ukweli mchungu, ukimaliza na midfielders, huku mbele wingers zote 2, namba 10 na namba 9 ni sawa na hatuna kitu..
Saka mchezaji wa kawaida tu, martineli upepo, trossard kidoogo dhamana, madueke yale yale, gyokeres hamna kitu, odegaard nae mashuzi tu, jesus kidoogo dhamana, eze kwa mbaaali, kai nae mashuzi tu
 
Hatuwezi pressure za kuelekea mwisho wa msimu. Hatuna big mentality kuhandle pressure, angalia blunder ya Raya na Gabriel, unaona kabisa ni pressure wala sio issue nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…